BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
- Thread starter
- #21
Wanao tupatia misaada magari yao kwenye msafara ni 4 au 5, sasa njoo kwa wapokea misaadaKwa hiyo gari 100 kwenye msafara wa rais kwako wewe ni kidogo!?
Kama ndivyo basi tuna safari ndefu sana.