Rais Samia na msafara wa Magari zaidi ya 150, tulipe tozo nchi ijiendeshe
Anaye lalamika ni mwananchi anaye gharamia hayo magari kwa tozo na kodi za kishenzi shenzi , hayo hayagharamiwi na pesa za mshahara wa samia na kundi lake, usijitoe ufahamu na muwe na heshima kwa wananchi walio waweka hapo, halafu baadae mmesha iharibu nchi mumezeeka ndio mnajifanya washauri wazuri wakati kwasasa mnashirikiana kutumia pesa hovyo kwa mambo ya kijinga wakati kuna vituo vya afya vikubwa tuu vinahudumia mamia kwa mamia hakuna hata mashine moja ultrasound na kuna watanzania wanakufa kwa maradhi ambayo serikali ingekuwa ina mipango thabit wala wasinge kufa. shwain
Basi mwambie mwananchi alete utaratibu wa kutokuwa na Rais Wala Mawaziri Ili Kila kitu afanye yeye asilalamike
 
IMG_1854.JPG
 
Nimesghangaa sana huko Rukwa na ukiangalia bei za ...
Mkuu huyo ana kinga ya kikatiba ya kutoweza kushtakiwa hata kama akiboronga kwa namna gani!

Kwa hiyo atakapo maliza muda wa utawala wake, ataomba tu msamaha kwa Watanzania, kutokana na mapungufu yote yaliyojitokeza wakati wa utawala wake. Biashara itaishia hapo.
 
Basi mwambie mwananchi alete utaratibu wa kutokuwa na Rais Wala Mawaziri Ili Kila kitu afanye yeye asilalamike
Kwani nchi zote zinazo tuzunguka Rais anazunguka na baraza la mawaziri! ? Inamaana CCM imeshindwa kabisa kupata mawazo mampya jinsi ya kupunguza matumizi kwenye ziara za Rais ? Kwani kazi ya waziri ni kuzunguka na Rais kweny ziara zake? Tukiwaambia mna akili ndogo na mbinu na mawazo yaliyo pitwa na muda kwenye ulimwengu wa kisasa mnakataaje ?nchi hii ni nchi ya kuzurura na magari zaid ya 100 kwenye msafara ilihali bado nchi imeandamwa na matatizo meeengi sana ya kijamii, 75% pesa ya kodi inahudumia wanasiasa ambao ni consumers na sio producers ? Hesabu zenu hapo zimekaaje nyie makada? Au kwa sasa akili imejifunga itafunguka baada ya kuachana na utumishi wa umma.
 
Kila gari ina dereva na abiria mmoja au wawili. Napendekeza usafiri wa jumla kwa viongozi, watumie mabasi..!
Mama kasahau alipandishwa basi uingereza 😂 , hakujifunza kwanini walipandishwa basi ,lile lilikuwa somo kwanza wajifunze lakini kwakuwa vichwa vina kutu hawakujifunza chochote.
 
Tatizo huyu rais hakuchaguliwa ndiyo maana haoni machungu ya kutumia hovyo Kodi zetu.li rais la kurithi urithi hapo lazima tupate mambo ya ajabuajabu kama haya ya kutembea na magari 600 kwenye msafara wake.Marekane ambao wanaongoza uchumi lakini raisi wao hatembei na huo ulimbukeni wa madaraka.rais wa marekani gari sita tu basi.
 
Kwani nchi zote zinazo tuzunguka Rais anazunguka na baraza la mawaziri! ? Inamaana CCM imeshindwa kabisa kupata mawazo mampya jinsi ya kupunguza matumizi kwenye ziara za Rais ? Kwani kazi ya waziri ni kuzunguka na Rais kweny ziara zake? Tukiwaambia mna akili ndogo na mbinu na mawazo yaliyo pitwa na muda kwenye ulimwengu wa kisasa mnakataaje ?nchi hii ni nchi ya kuzurura na magari zaid ya 100 kwenye msafara ilihali bado nchi imeandamwa na matatizo meeengi sana ya kijamii, 75% pesa ya kodi inahudumia wanasiasa ambao ni consumers na sio producers ? Hesabu zenu hapo zimekaaje nyie makada? Au kwa sasa akili imejifunga itafunguka baada ya kuachana na utumishi wa umma.
Ndio wanazunguka nao.Pili Rais hazunguki na Baraza na Mawaziri maana hakunaga Ziara ambayo inahusisha Mawaziri wote Kwa pamoja.

Nchi kuandamwa na matatizo haimaanishi Rais aache kwenda kwenye ziara na wasaidizi,huo ni utaratibu rasmi,uwe na matatizo au usiwe na matatizo na matatizo Huwa hayaishi.
 
Sijui hata kama umeelewa mantiki ya uzi.Msururu wa magari upunguzwe na matumizi yasiyo na tija yataji-rectify.Wigwa manangwa?
Ni ngumu kupungua maana inategemea na shughuli inayohusika.

Kwani Kila mahala Rais Huwa na msururu wa magari kama unavyosema? Si ni kwenye matukio machache ya ziara rasmi za kikazi au?
 
Ni ngumu kupungua maana inategemea na shughuli inayohusika.

Kwani Kila mahala Rais Huwa na msururu wa magari kama unavyosema? Si ni kwenye matukio machache ya ziara rasmi za kikazi au?
Mahali gani magari huwa machache kwa Tanzania?Labda,anavyotoka chumbani kwenda sebuleni kupata chai.🤔
 
Back
Top Bottom