saa-mia kama saa-mia baada ya kusoma ushauri wakoHaihitaji kubishana kwa chochote, suala la Bandari limefifisha kabisa nyota ya kisiasa ya Rais Samia, kwa hali ilivyo sasa Rais Samia akisema akagombee hata udiwani katika kata yoyote ile Tanganyika huenda akaangukia pua.
Swadakta.Kinachomsaidia ni aina ya nchi na watu anaowaongoza tu.
Kwanini waliapa? Unaapaje ukishika Katiba na kitabu kitakatifu kisha, ikija kwenye kuwajibika eti unasema waliletewa, for real?What if hao unaowataja hawakupewa nafasi ya kushauri, waliletewa majibu mezani na kuambiwa iwe hivyo...?
Na wakakaa kimya! basi lazima watolewe kafara kuokoa jahazi, ndivgo kisiasa tunavyoendagaWhat if hao unaowataja hawakupewa nafasi ya kushauri, waliletewa majibu mezani na kuambiwa iwe hivyo...?
Lini mikataba ilijadiliwa tofauti na huu mnyonge mnyongeni haki yake mpeni mingine ikiletwa mtasema imechakachuliwa.Hakuna yeyote aliyemwaribia kajiharibia yeye mwenyewe.Mbn wakati wa Magu hii mikataba ilitupiliwa mbali iweje yeye aikubali?Na alishaambiwa kabla kuhusu hii mikataba ya hovyo
Mama, mamaaa haya Sasa umeingizwa Chaka raia watanganyika hawakuelewi. Unapoteza badili gia usione nishaiHaihitaji kubishana kwa chochote, suala la Bandari limefifisha kabisa nyota ya kisiasa ya Rais Samia, kwa hali ilivyo sasa Rais Samia akisema akagombee hata udiwani katika kata yoyote ile Tanganyika huenda akaangukia pua.
Jamani tuacheni na rais wetu, bado tunatumia pesa na per diem kwa kuendelea kuelimisha mikoani kwa wadanganyika wenzetu, kauli mbiu ya kanda ya ziwa ni mabinti wa kiarabu ni wazuri sana wakija tutachanganya rangi," CCM tupo tuition kanda kwa kanda mkoa kwa mkoa, kaya kwa kaya, mpaka waelewe ibara ya 21 kuwa mkataba una ukomo,Haihitaji kubishana kwa chochote, suala la Bandari limefifisha kabisa nyota ya kisiasa ya Rais Samia, kwa hali ilivyo sasa Rais Samia akisema akagombee hata udiwani katika kata yoyote ile Tanganyika huenda akaangukia pua.
Nilishawahi kuwaza angekuwa anawaongoza wakenya....[emoji16]Sijawahi kuamini hata chembe kama SSH ni Rais Bora. Kwanza IQ ndogo na hawezi kusimamia serikali. Kinachomsaidia ni aina ya nchi na watu anaowaongoza tu.
Akimtoa tulia ataendelea kula mpunga maisha yake yote. majaliwa atakuwa hana kibarua kwasababu amebakisha miaka 2 tu arudi kwao. ila wote huwa sitamani hata kuwaangalia mara mbili.Haihitaji kubishana kwa chochote, suala la Bandari limefifisha kabisa nyota ya kisiasa ya Rais Samia, kwa hali ilivyo sasa Rais Samia akisema akagombee hata udiwani katika kata yoyote ile Tanganyika huenda akaangukia pua.
Kuna anayeitwa Jerey Silaa, mbunge feki wa jimbo la Ukonga. Baada ya kushindwa kufanya chochote kwenye jimbo, na kusoma alama kuwa ameshakataliwa na wananchi kwa asilimia zote, ndani na nje ya chama chake, yeye ameamua akazurure nchi nzima kuukingia kifua mkataba haramu wa kuuza nchi.Ukiangalia kwa jicho la umakini hili suala utagundua kwamba waliomuingiza chaka huyu mama ni wabunge wanaoongozwa na njaa kali na ulafi kushindwa kupingana wao kwa wao sababu sasa hivi mle ndani wapo wao tu so wanaona wakienda tofauti na wengine raisi atawaona wasaliti na atakuwa hawabebi awamu ijayo kumbe sometimes yeye rais alitegemea challenges watakazopeana kwenye mjadala wa hili jambo ndizo zimuongoze
Na hii yote ni kutokana na wanajua hawapendwi na wananchi wao kwa sababu kugombea kwao ubunge haikuwa ili wakawasemee shida zao bali ilikuwa ni chance ya kupata ukwasi
Hayo ni mawazo yakoHaihitaji kubishana kwa chochote, suala la Bandari limefifisha kabisa nyota ya kisiasa ya Rais Samia, kwa hali ilivyo sasa Rais Samia akisema akagombee hata udiwani katika kata yoyote ile Tanganyika huenda akaangukia pua.
Haahaaa eti japo Mruma anajua ung'eng'e kiasi. Ukweli ni kuwa watanzania wengi wanaojiita wasomi wanajua kiingereza cha ugoko wakati wa mjadala wa amani, lakini wanapokuwa kwenye mazingira ya mgogoro ni aibu ya hatari.Mruma asingejitambulisha Kama profesa mbele ya vile vitoto vya kizungu. Angesema from foo alipata div foo Kama waziri Fulani aliyepata F ya uraia, F ya hesabu na F ya kiingereza.
Kujitambulisha Kama Prof kumewavua nguo maprof wengi wa kitanzania.
Mruma na dada Joy hawachekani japo mruma anajua ung'eng'e kiasi.
Hiyo mikataba iliyotupiliwa mbali wakati wa Magufuli si ndio hiyo imefanya Profesa Mruma anaibika huko kwenye mahakama za kimataifa, na kesi tumeshindwa na hivi sasa tunatakiwa kulipa zaidi ya 200b? Hujaona Profesa Mruma anaulizwa na mjukuu wake amebaki kuongea mambo ya ajabu hadi imeishia kuwa aibu?Hakuna yeyote aliyemwaribia kajiharibia yeye mwenyewe.Mbn wakati wa Magu hii mikataba ilitupiliwa mbali iweje yeye aikubali?Na alishaambiwa kabla kuhusu hii mikataba ya hovyo
Kwa kosa la kupelekeshwa wakati yeye ana chombo huru kinachojitegemea.Wewe mleta hoja sikuelewi kabisa... yaani atoswe spika kwa kosa gani?