smarte_r
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 4,564
- 12,014
saa-mia kama saa-mia baada ya kusoma ushauri wakoHaihitaji kubishana kwa chochote, suala la Bandari limefifisha kabisa nyota ya kisiasa ya Rais Samia, kwa hali ilivyo sasa Rais Samia akisema akagombee hata udiwani katika kata yoyote ile Tanganyika huenda akaangukia pua.