Rais Samia nakushauri watose sasa Spika (Tulia) na PM (Majaliwa), sakata la bandari limekumaliza kisiasa!

Sijawahi kuamini hata chembe kama SSH ni Rais Bora. Kwanza IQ ndogo na hawezi kusimamia serikali. Kinachomsaidia ni aina ya nchi na watu anaowaongoza tu.
Kwa maelezo haya na I'd yako si ajabu ukawa unaona Magufuli alikuwa rais bora.
 
Bandari imemmaliza Mama kabisa! Watakaompa kura akigombea Urais ni mazuzu ! HATOSHI!
Hahitaji kura ya mtu hata moja kuwa rais, anaweza kuamua ni kura kiasi gani anataka atangazwe nazo. Kwa sasa kura sio njia ya kupata viongozi, bali hilo zoezi lipo kukamilisha utaratibu tu .
 
Wacha kutusemea jisemee wewe mwenyewe tu
 
Kuna wengine maprofesa wanatolewa kamasi huko mahakamani hadi mmoja anasema hakusoma documents alikua anaumwa hahahahhaha wale ndio wanyongwe kabisa
"I got up not well for 2days" unamweleza hivyo wakiri anayeijua kazi yake vizuri🤣🙌
 
Hiyo Joy ndio umuweke pembeni kabisa, sio kwa kingereza like hata form four saint kayumba anamshinda alafu ni Prof ptuh😩
 
Hakuna yeyote aliyemwaribia kajiharibia yeye mwenyewe.Mbn wakati wa Magu hii mikataba ilitupiliwa mbali iweje yeye aikubali?Na alishaambiwa kabla kuhusu hii mikataba ya hovyo
Tumesema sana humu kwa hoja zilizo nyooka wametupuuza, Rais ni taasisi
 
Hao wote unawaonea hilo jambo ni la Samia na Kaka yake Mbarawa na timu ya Johari.AG,PM na Speaker hao wamekuja kupewa maelekezo baada ya dili kuvuja Ili kuokoa Ufalme usifitinike.
Yeye Samia ndiyo anapaswa arudi Zanzibar kulea Wajukuu!
 
Kwa noni awatose wakati hawa ndo majembe ya taifa na mkataba wa DP WORLD wanaufafanua vizurrri kabisa? Hawatoki.
 
Kwa kweli, Hii ishu ya bandari imenihakilishia pasipo chembe ya shaka kuwa uwepo wa Samia kwenye kile kiti ni hatari kwa Uhuru , usalama na future ya nchi yetu. Atauza kila kitu huyu!
 
Kaziba masikio huyo. Angekuwa anatusikiliza. Mwingulu, Nape na Makamba wasingekuwa ofisini Hadi Dakika Hii.
.Acha aendelele kuangushiwa Jumba Bovu kayataka mwenyewe.
 
Tatizo la Tanzania ni mfumo mbovu hata wewe ukiwekwa hapo utafanya madudu tu, Ndugai alikuwa Spika mbovu sn tukamtoa leo Tulia ni mbovu zaidi ya Ndugai
 
Kwanza liondoke lile debe tupu kule juu, hao wengine ni matokeo ya kuwa na lile debe tupu kule juu lisilojua linapoelekea.
 
Majaliwa unamuone tu, yeye si Mkuu wa Mhimili. Hangaikeni na Wakuu wa mihimili hasa yule ASIYE-TULIA
 
(Mbarawa, Feleshi) , hawa wanaondoka, tumeshafahamishwa, huu mwezi haupiti.

Mimi naongelea hivyo visiki viwili, PM na Spika, nao waunganishwe tu!
Hawawezi kuondolewa kwa maoni ya kishabiki ya JF, haipo serikali inayofanya kazi kwa kusikiliza umbea wa mitandaoni.

Angeshaondoka Mwigulu Nchemba siku nyingi zilizopita, Angeshaondoka January Makamba miezi mingi iliyopita.
 
Hawawezi kuondolewa kwa maoni ya kishabiki ya JF, haipo serikali inayofanya kazi kwa kusikiliza umbea wa mitandaoni.

Angeshaondoka Mwigulu Nchemba siku nyingi zilizopita, Angeshaondoka January Makamba miezi mingi iliyopita.
Wewe si ndiye ulinipotezea muda kubishana na wewe siku nzima kuhusu kwamba ni mkataba au makubaliano? Aisee.., siwezi tena kupoteza muda na chawa wa namna hii.., ninachokueleza kuhusu hao wawili kuondoka nakifahamu kwa undani kuliko unavyojua.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…