Hajakataa kazi yao kikatiba ila ni ukweli Tanganyika law walianza kuonekana kama sehemu ya wanaharakati kujificha sote tunajuwa.Wataalam ndiyo injini ya kuleta maendeleo katika nchi.
Wataalam hawatakiwi kujipendekeza na kuwalamba nyayo wanasiasa.
Mtaalam anapotoa maoni au kukosoa lazima asikilizwe siyo kumchukia au kumuita adui.