Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
🚮🚮Hili swali siyo mahala pake hapa,we twende tusherehekee ushindi huu,hela hizi tule tu.
Zawadi haiulizwi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🚮🚮Hili swali siyo mahala pake hapa,we twende tusherehekee ushindi huu,hela hizi tule tu.
Zawadi haiulizwi.
Mama alishasema, yeye na Mwendazake ni kitu kimoja.Mimi nataka kufahamu je hizi pesa huyu raisi anazitoa wapi? Je ni mshahara wake au anafuja kodi (majasho) ya walalahoi?
Mama ana uchu wa madaraka, kaanza kampeni mapema na kutoa rushwa kimtindo. Atueleze kama hizo pesa ni za mfukoni kwake au za umma?Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza hayo baada ya Simba kushinda magoli 7-0 dhidi ya Horoya katika mchezo wa Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kwenye Uwanja wa Mkapa.
Kabisa mkuu,acha kimbelembele,Tunajua michezo Ina umuhimu wake Kwa Taifa na mtu mmoja mmoja kiafya, na pia motisha ni muhimu. Na nikiwa kama mwanasimba nimefurahi Jana tumezichota haswa...
Lakini....kama pesa zipo...why zisipelekwe NHIF kwenye mfuko wa Bima ya Afya Kwa watoto isaidie watoto huko!?
Au niache kimbelembele...!?
Ungeanza kwanza kuwalalamikia mafisadi ndio wanaokula nyingi,inaonekana mpira unauchukia sananchi ya kipumbavu sana
majasho ya walala hoi yanateketea kwa mambo ya kipumbavu kabisa
ukizaliwa Afrika wewe umelaaniwa
Walala hoi hawana pesa wana njaa walipa Kodi ni mabwenyenye wenye hela zao wala hawalalamiki, just kidding!Mimi nataka kufahamu je hizi pesa huyu raisi anazitoa wapi? Je ni mshahara wake au anafuja kodi (majasho) ya walalahoi?
Sizani kama kuna ubaya wowote rais akiamua kutoa motisha kwenye michezo nivile tu mentality za kimasikini zimetujaa sana kupenda kuweka hila za kisiasa katika kila Jambo.Mama ana uchu wa madaraka, kaanza kampeni mapema na kutoa rushwa kimtindo. Atueleze kama hizo pesa ni za mfukoni kwake au za umma?
Lazima kuwepo na nidhamu ya matumizi ya pesa za umma hili linpofumbiwa macho linachangia viongozi kujichoteaSizani kama kuna ubaya wowote rais akiamua kutoa motisha kwenye michezo nivile tu mentality za kimasikini zimetujaa sana kupenda kuweka hila za kisiasa katika kila Jambo.
Shida hutokea pale rais au kiongozi ku violate law of natural justice yaani kupendelea upande mmoja na kupuuza mwingine kila sehemu ina haki sawa nyingine japo kwa uziti tofauti, kwa mfano rais anapotoa motisha kwenye michezo ni ufujaji( misuse ) ya hela za umma.Lazima kuwepo na nidhamu ya matumizi ya pesa za umma hili linpofumbiwa macho linachangia viongozi kujichotea
Serikali inapata pesa kiasi gan kwa timu kutumia uwanja wa taifa!??Mimi nataka kufahamu je hizi pesa huyu raisi anazitoa wapi? Je ni mshahara wake au anafuja kodi (majasho) ya walalahoi?
Hela za madawati na hosptl zipatikane kwa kuuzwa V8 na mashangingi yote ya serikaliHizo pesa zingepelekwa kununua madawati na madawa.
Hao wachezaji kufunga ndio kazi yao na wanalipwa kwa kufanya hivyo.
Huo ni ufujaaji wa fedha za uma.
Ni zakeMimi nataka kufahamu je hizi pesa huyu raisi anazitoa wapi? Je ni mshahara wake au anafuja kodi (majasho) ya walalahoi?
Kutoa milioni 5 ndio kuitangaza nchi.Unadhani rais mjinga, wenzako wanazitumia hizo timu kuitangaza nchi kwenye medani za kimataifa return yake kiuchumi na kisiasa ni zaidi ya hiyo milioni 5,niambie ni rais gani ambae hakujihusisha na michezo kuanzia Nyerere aliyejenga viwanja vya mpira kwa mgongo wa ccm nchi nzima,mwinyi na kichwa cha mwenda wazimu,mkapa na uwanja wa kimataifa, kikwete na "mnashinda kwa maarifa sio ndio maana mkienda nje.."magufuli simba na yanga leteni kombe la afrika na sasa Samia.
Wewe na yeye ndio mnafanya cheap politics.Acha cheap politics Mh. Rais anafanya jambo zuri kumotisha timu zetu wewe pia unaweza changisha fedha za madawati.
Huwezi kuelewa mambo kwa akili yako hiyo fupi.Kutoa milioni 5 ndio kuitangaza nchi.
Kadanganye wenzako huko mchamba wima.
Inawezekana ni zile wanazoambiwa wastaafu subirini