Rais Samia: Sifurahii Mgogoro wa Yanga na Feitoto. Nataka umalizike

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndiyo shida ya kupokea vya watu mara kanunua goli mara katoa ndege hatimae anaanza kuwaambia nini cha kufanya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaaaaa!!!!
 
Wenzako wanasema siasa na michezo ni kitu chausahihi[emoji23][emoji23][emoji23]. Hawajui kwanini FIFA walipiga marufuku hivi vitu, ngoja tufunzwe na ulimwengu kwanza[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio suala la kufurahia, fifa walipopiga marufuku serikali kuingilia soka walikua kutakua na mambo kama haya ya leo
Kama Yanga walikuwa hawataki Wanasiasa wajihusishe na maamuzi yao basi na wao haikuwa na haja kuomba Rais apatie Ardhi kwa ajili ya kujenga uwanja....

Maadam wamemuomba Rais Awapatie Ardhi na Rais naye kawaomba wamalizane na Feitoto....
 
Ukisha sign na Wino mwekundu na kuapa uku taifa zima linakusikiliza ndio imeisha iyo samia akitaka ata leo uyo born town akimbie nchi ni suala la sekunde tu na story yako inaishia apo Africa Rais anamlaka makubwa sana..
 
Ah hamna kumuachia bure labda wampe nafasi ya mwisho ya kuvunja mkataba kwa kufata taratibu .
Serikali haihusiki na hili swala pia lazima sheria ziheshimiwe.
Sasa mlienda ikulu kufanyaa nn?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au pale ni TFF makao makuu??
 
Ila kwenda ikulu na kupewa ndegee buree ya serikali sheria za FIFA zinataka hivyooo??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ukitakaa kula, sharti uliwee.
 
Walikuwa wanafikiri ndege wanapewa bure bure [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Malipo ni kumuachia feitoto [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na alikuaaa ana wachoraaa tyuuh, kuwaitaa ikuluu makusudi awapige kwenyee mshonooo.
 
Kauli ya Rais ni kauli ya serikali yani apo tayari kesi imeshamalizwa tuone yule atakaepingana na Rais apo yanga kama Engineer ersi ajarudishwa kwao Somalia na yule bosi wenu wa pale salamander ajapelekwa kwao YEMEN
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila kwenda ikulu na kupewa ndegee buree ya serikali sheria za FIFA zinataka hivyooo??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ukitakaa kula, sharti uliwee.
Kwani kwenye mpira duniani Yanga ndio timu ya kwanza kualikwa Ikulu au nitajie timu iliyo alikwa ikulu na ikaigwa ban na FIFA.

Maana usiwe na akili kama kizibo cha kisoda, unachanganya Sheria za FIFA na awards binafs ya mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…