cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aya Sasa simnasema Mnafata sheria Mara mna utaratibu haya Sasa tuone. Mkikataa maombi ya Rais walahi nyie ni mbinguni moja Kwa moja manina. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukijipendekeza na kuingia kwenye korido za wanasiasa lazima yatakugharimu tuu. Tuone Sasa kama hamtafa matakwa ya huyu mama [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], shida mnakuwa machawa mpaka mnakera na bado [emoji38][emoji38]View attachment 2647232