Tushapigwa tayari mkuu hapo hakuna chochote kitakacho badilika hapo, Kama madini tulikubali kupewa 3% tu unadhani kwenye Ardhi napo nini kinafata hapo?Nakuelewa sana.
Sasa itakuwa hv:
Tumepigwa kwenye Madini. Hatuna kitu.
Sasa, tunaenda kupigwa kwenye Bahari. Tumepoteza.
Sasa, tusikilizie kwenye ardhi maana ndio pekee iliyobaki. Hii nayo tukipigwa basi ndio mwisho wetu rasmi kama nchi.
Wanaweza wakiamini hamna namna na watafaidika bado. Lakini inahitaji negotiations za kitemi!Swali la.msingi unaamini kabisa China watakubali mkataba ambao Tz watanufaika ikiwa pesa yote wanatoa wao?
Sasa hiki ndicho tunashindwa kutafakari badala yake tunakalia kukomoana kisiasa kwaajili tu ya kuwafurahisha watu fulani.
Yaani mama anatafuta kupendwa na watu wote yaani anataka watu wote furahi ataachia kila kitu ili kufurahisha watu na hilo ndio litakuwa kaburi le
AmenMwenyezi Mungu atuhurumie.
Au labda Mungu katulaani maana mbona mambo yapo hv?Tushapigwa tayari mkuu hapo hakuna chochote kitakacho badilika hapo, Kama madini tulikubali kupewa 3% tu unadhani kwenye Ardhi napo nini kinafata hapo?
Huo ndio ukweli wao wanajali matumbo yao tu hapo watapiga hela tu kwa vyovyote vile.Natamani kukwambia "tuwe na imani" ila roho inasita, historia ya viongozi wa CCM kwenye hii mikataba sina hamu nao, na isije kuwa sisi ndio tunaenda kuwabambeleza wachina warudi kwa kigezo cha kurudisha wawekezaji.
... watoto wa 'town' 3 ... na IBADAKULI hawajapata kitu!Inshort jamaa alitaka kuua kaskazin na kufanya chato iwe arusha
Zenyewe zinahitaji jeki ya mikopoHizi bandari zilizopo haziwezi kuzalisha faida yakujenga Bagamoyo?
Kama hazina faida tuziboreshe ili tupate faida kuliko kuingia mamikataba kila mwaka bila faida.
Sasa hta tukiambulia trillion 2 kwenye entirety ya mradi kuna hasara gani? Bila huo uwekezaji faida gani tunaipata hapo Bagamoyo kwa sasa??Swali la.msingi unaamini kabisa China watakubali mkataba ambao Tz watanufaika ikiwa pesa yote wanatoa wao?
Rais kaongelea mazungumzo kuanza upya. Kumbuka kwenye maongezi kuna kukubaliana na kutokubaliana.Kuuliza sio ujinga. Aliyekuwa Rais (JPM) na Makamu wa Rais SSH wakati ule waliukataa huu mradi. Miezi mitatu baada ya kifo Cha JPM , aliyekuwa Makamu wa Rais Kawa Rais anaukubali tena huo mradi. Je hawa viongozi wawili wakati wa uongozi wao walikuwa wanafanya maamuzi kwa kushirikiana?
Kama tuliweza kwenye mikataba ya madini tutashindwaji kufanya mapitio ya mkataba wa Bagamoyo tuna watu wazoefu kwa sasa rejea Twiga mineral co ltdHizi bandari zilizopo haziwezi kuzalisha faida yakujenga Bagamoyo?
Kama hazina faida tuziboreshe ili tupate faida kuliko kuingia mamikataba kila mwaka bila faida.
Kwani ukatili wa mwendazake ulikuwepo kwenye ilani ya ccm 2015-2020?Bandari ya Bagamoyo ipo kwenye ilani ya SSH - Aibu!
Grow up and discuss the current issues. JPM is no more!Kwani ukatili wa mwendazake ulikuwepo kwenye ilani ya ccm 2015-2020?
Acha uoga wewe.Kilichobakia ndio kinamaliziwa maliziwa.
Wenye nchi wanakwenda kuwa watumwa kwenye nchi yao , amini nawaambieni.
Haahaa kwani ardhi kukabidhiwa miaka 99 Ni wa China tu? Kama watu walikamatwa hovyohovyo kwa Nini ushangae kuachiwa hovyohovyo?Hayo ni mawazo yako na mbaya zaidi ni nje ya mada, we Kama unafikiri adui wa nchi hii ni JPM basi unamatatizo si bure after all huyo jpm unaye pambana naye tayari yuko mbele za haki huko.
Na Kama unaamini kuwa mahakama zilikuwa zinafanya kazi kwa maelekezo ya jpm basi nasasa pia tuamini kuwa mahakama zinatenda kazi kwa maelekezo ya mama au sio ndio Mana watu wanaachiwa ovyo ovyo kwasababu ya maelekezo kutoka kwake au vipi?
Huu sio muda wa kupambana na Magu huku watu wanaenda kukabidhi ardhi kwa mchina miaka 99.