Rais Samia Suluhu Hassan: Serikali kufanya mazungumzo kuendeleza mradi wa bandari ya Bagamoyo

Rais Samia Suluhu Hassan: Serikali kufanya mazungumzo kuendeleza mradi wa bandari ya Bagamoyo

Nakuelewa sana.

Sasa itakuwa hv:

Tumepigwa kwenye Madini. Hatuna kitu.
Sasa, tunaenda kupigwa kwenye Bahari. Tumepoteza.

Sasa, tusikilizie kwenye ardhi maana ndio pekee iliyobaki. Hii nayo tukipigwa basi ndio mwisho wetu rasmi kama nchi.
Tushapigwa tayari mkuu hapo hakuna chochote kitakacho badilika hapo, Kama madini tulikubali kupewa 3% tu unadhani kwenye Ardhi napo nini kinafata hapo?
 
Swali la.msingi unaamini kabisa China watakubali mkataba ambao Tz watanufaika ikiwa pesa yote wanatoa wao?
Wanaweza wakiamini hamna namna na watafaidika bado. Lakini inahitaji negotiations za kitemi!
 
Sasa hiki ndicho tunashindwa kutafakari badala yake tunakalia kukomoana kisiasa kwaajili tu ya kuwafurahisha watu fulani.
Yaani mama anatafuta kupendwa na watu wote yaani anataka watu wote furahi ataachia kila kitu ili kufurahisha watu na hilo ndio litakuwa kaburi le

Mwenyezi Mungu atuhurumie.
Amen
Tushapigwa tayari mkuu hapo hakuna chochote kitakacho badilika hapo, Kama madini tulikubali kupewa 3% tu unadhani kwenye Ardhi napo nini kinafata hapo?
Au labda Mungu katulaani maana mbona mambo yapo hv?
 
Nadhani Tufanye mjadala wa Kitaifa ili kila mwenye mawazo ayalete bahati nzuri maeneo yaliyokuwa contested Rais Magufuli aliyasema Let us Discuss From there
 
Hizi bandari zilizopo haziwezi kuzalisha faida yakujenga Bagamoyo?
Kama hazina faida tuziboreshe ili tupate faida kuliko kuingia mamikataba kila mwaka bila faida.
 
Natamani kukwambia "tuwe na imani" ila roho inasita, historia ya viongozi wa CCM kwenye hii mikataba sina hamu nao, na isije kuwa sisi ndio tunaenda kuwabambeleza wachina warudi kwa kigezo cha kurudisha wawekezaji.
Huo ndio ukweli wao wanajali matumbo yao tu hapo watapiga hela tu kwa vyovyote vile.
Ndo hivo hatuna chakufanya wacha watuuze tu taifa la watu mil 60 tunakosa watu 30 tu makini wakuwapa madarakani wafanye vitu kwa manufaa ya yetu ajabu hii.
 
Inshort jamaa alitaka kuua kaskazin na kufanya chato iwe arusha
... watoto wa 'town' 3 ... na IBADAKULI hawajapata kitu!
😅
1624706955362.png
 
That's a good Decision.
IRR sio mbaya by 2123.
Tutakuwa miongoni mwa 10 topest kwenye uchumi wa Dunia.
 
Hizi bandari zilizopo haziwezi kuzalisha faida yakujenga Bagamoyo?
Kama hazina faida tuziboreshe ili tupate faida kuliko kuingia mamikataba kila mwaka bila faida.
Zenyewe zinahitaji jeki ya mikopo
 
Swali la.msingi unaamini kabisa China watakubali mkataba ambao Tz watanufaika ikiwa pesa yote wanatoa wao?
Sasa hta tukiambulia trillion 2 kwenye entirety ya mradi kuna hasara gani? Bila huo uwekezaji faida gani tunaipata hapo Bagamoyo kwa sasa??

Maana sio kwamba bandari ya Bagamoyo tumeijenga kma ya Dar kwamba tunaitegemea n.k so we have nothing to lose and so much to gain.
 
Kuuliza sio ujinga. Aliyekuwa Rais (JPM) na Makamu wa Rais SSH wakati ule waliukataa huu mradi. Miezi mitatu baada ya kifo Cha JPM , aliyekuwa Makamu wa Rais Kawa Rais anaukubali tena huo mradi. Je hawa viongozi wawili wakati wa uongozi wao walikuwa wanafanya maamuzi kwa kushirikiana?
Rais kaongelea mazungumzo kuanza upya. Kumbuka kwenye maongezi kuna kukubaliana na kutokubaliana.
 
When the present president was next to the late Magufuli she joined him in snubbing this project but today barely three months after Magufuli's demise she is coming out to loud this project.!

However, down the line, it seems the former president Mr. Jakaya Kikwete is pulling the strings in this Bagamoyo port deal as he hails from the same place.
 
Yaani awamu ya sita inaendelea kunifanya niwe kijana zaidi. Awamu ya 5 ilitaka kunizeesha kabla ya umri wangu.

Mama endelea kuwachanganya huko Lumumba make walijiaminisha kuwa taifa hili ni mali yao pekee.

Sisi wananchi tunataka ardhi, siasa safi na utawala bora. Mengine yaliyobaki kanyaga twende hadi 2030 Mungu akijaalia.
 
Bandari ya Bagamoyo ipo kwenye ilani ya SSH - Aibu!
 
Hizi bandari zilizopo haziwezi kuzalisha faida yakujenga Bagamoyo?
Kama hazina faida tuziboreshe ili tupate faida kuliko kuingia mamikataba kila mwaka bila faida.
Kama tuliweza kwenye mikataba ya madini tutashindwaji kufanya mapitio ya mkataba wa Bagamoyo tuna watu wazoefu kwa sasa rejea Twiga mineral co ltd
 
Hayo ni mawazo yako na mbaya zaidi ni nje ya mada, we Kama unafikiri adui wa nchi hii ni JPM basi unamatatizo si bure after all huyo jpm unaye pambana naye tayari yuko mbele za haki huko.

Na Kama unaamini kuwa mahakama zilikuwa zinafanya kazi kwa maelekezo ya jpm basi nasasa pia tuamini kuwa mahakama zinatenda kazi kwa maelekezo ya mama au sio ndio Mana watu wanaachiwa ovyo ovyo kwasababu ya maelekezo kutoka kwake au vipi?

Huu sio muda wa kupambana na Magu huku watu wanaenda kukabidhi ardhi kwa mchina miaka 99.
Haahaa kwani ardhi kukabidhiwa miaka 99 Ni wa China tu? Kama watu walikamatwa hovyohovyo kwa Nini ushangae kuachiwa hovyohovyo?
 
Back
Top Bottom