mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Subiri siku usingiziwe kitu ulale ndaniWaizi watarudi mitaani Tu enzi zake zimefika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri siku usingiziwe kitu ulale ndaniWaizi watarudi mitaani Tu enzi zake zimefika
Hiyo ya kumtafuta nani alikuwa anawatuma itakuwa sio kuliponya taifa. ni Visasi. itoshe kuzifuta kesi waliziaababisha watapata aibu tu. wanajijua na tunawajua.Hii bhagosha, wamejitathimini na wakakiri kuwa kuna watu waliwabambikia kesi na sasa wamefuta 147 !
Isiishie hapo tu itapendeza wakieleza uma wa watanzania nani alikuwa anawatuma na kwa minajili gani, pia warudishe zile pesa alizokuwa anapokea DPP ili kuwafutia kesi za kubambikiana watuhumiwa wote akiwemo Kabendera
So WIZI wa kubambikiwa unaupenda?Waizi watarudi mitaani Tu enzi zake zimefika
Tutajua tu ni akina nani wamefutiwa. Bilashaka ya Nyangali Mdude itakuwemoKesi za kisiasa baada ya uchaguzi Mkuu ndizo zimejaa huko.
kwa wamewahi kuisha?Waizi watarudi mitaani Tu enzi zake zimefika
Wamefuta au wameingia mitini hawahudhurii mahakamani!!Leo katika hafla ya juwaapisha majaji wapya Mh Rais Samia Suluhu Hasani amewataka jeshi la polisi, ofisi ya mwendesha mashtaka na Mahakama kuhakikisha wanaharakisha michakato ya kesi mbali mbali ili kutoa haki wa watuhumiwa badala ya kuchelewesha haki za watu.
Hili linakuja ikiwa ni kiasi cha mwezi mmoja tu ambapo Tito Magoti afisa ktk Shirika ka haki za binadamu HRLC alitoa siri na kuelezea kadhia wanazopata watuhumiwa wa kesi mbali mbali huku barua hiyo ikielekezwa kwa Mh Rais.mView attachment 1789551
Well said Mama President!! Nakupa 👍👌Leo katika hafla ya juwaapisha majaji wapya Mh Rais Samia Suluhu Hasani amewataka jeshi la polisi, ofisi ya mwendesha mashtaka na Mahakama kuhakikisha wanaharakisha michakato ya kesi mbali mbali ili kutoa haki wa watuhumiwa badala ya kuchelewesha haki za watu.
Hili linakuja ikiwa ni kiasi cha mwezi mmoja tu ambapo Tito Magoti afisa ktk Shirika ka haki za binadamu HRLC alitoa siri na kuelezea kadhia wanazopata watuhumiwa wa kesi mbali mbali huku barua hiyo ikielekezwa kwa Mh Rais.mView attachment 1789551
Bongo hii askari wa usalama barabarani anaweza akague gari yako na kukuta ritisi ya bima inaisha kesho asikukumbushe ili keshokutwa akudake kuwa bima imeisha. Yaani maisha flani hivi ya kuviziana. Hiyo elimu ni ngumu kutolewa. Watu wanajificha kwenye vichaka na vitochi maeneo ambayo wanajua watu watakuwa washajisahau, lazima wakupate.Huoni hata leo IGP kajikakamua kusema mapato ya usalama barabarani yamepungua kwa vile watu hawafanyi makosa tena. Akidhani ni ujiko kukusanya fine za barabarani. Mh. Rais kamzodoa kwamba wasitegemee fine kama chanzo cha mapato. Bali watoe elimu watu wasifanye makosa.
Kinachotafutwa hapo ni kufuta kesi za mafisadi. Mama kashauriwa ila wenzake wanajua lengo lao nini 😂😂Hii ni baada ya kutakiwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa kesi za kubambika.
====
Rais Samia Suluhu amesema Takukuru wamefuta kesi 147 ambazo waliwabambikizia watu. Awataka Polisi kupunguza kesi za kubambikiza.
Asante kwa taarifa zitafika tuendelee kupaza sautiWell said Mama President!! Nakupa 👍👌
Ila tunaomba uangazie vyombo vingine vya kutoa haki sio Jeshi la Polisi na Mahakama tuu!!!
Kuna chombo kama TUME YA UTUMISHI WA UMMA. Hii taasisi imekuwa ni kero sana kwa watumishi wa Umma ambao wanakata rufaa au wanapeleka malalamiko yao.
Kama unavyoona Mahakama au Jeshi la Polisi zinavyopora haki za watu vivyo hivyo hii inatokea kwa TUME YA UTUMISHI WA UMMA.
Tume ya Utumishi wa Umma wamekuwa ni wababaishaji sana katika kushughulikia matatizo au kero zinazopelekwa na watumishi wa umma kwa njia ya rufaa au malalamiko dhidi ya waajiri wao.
Tume ya Utumishi wa Umma imekuwa; haifanyi critical review ya malalamiko na rufaa za watumishi na mara nyingi hulalia upande wa mwajiri
Tume ya Utumishi wa Umma imekuwa na tabia ya ucheleweshaji wa rufaa na malalamiko yanayopelekwa na watumishi wa umma, na mara nyingi wamekuwa too defensive!!
Ukienda kuulizia hatma ya jambo lako wanakuwa wakali na hawawi cooperative at all, customer care ni zeero kabisa ktk hii ofisi.
Nafikili hata technical know how jinsi ya kufanya kazi ni tatizo, inaonekana hata ujuzi waliokuwa nao wafanyakazi wa hii Tume ya Utumishi wa Umma ni questionable na ndio maana wanaishia kuvurunda case za watu huku zikiwa zimekaa muda mrefu.
Mama President, hii ofisi ya TUME YA UTUMISHI WA UMMA ni mojawapo ya taasisi inayoharibu na kuwanyima haki watumishi wa umma, imekuwa ni mojawapo ya vichochoro vinavyotumiwa na waajiri waliokosa maadili na kuwaharibia utumishi watumishi wa umma.
Inaonekana hii tume inatumika na waajiri kuwakandamiza watumishi wa umma. How comes, rufaa au malalamiko ya mtumishi yanakaa mwaka au hata zaidi ya mwaka bila kupata muafaka au kulikamilisha. Tume ya Utumishi wa Umma imekuwa ni mojawapo ya taasisi zinazokiuka sheria badala ya kuzisimamia na kuzifuata ipasavyo.
Tunaomba mamlaka husika ziingalie hii ofisi ya TUME YA UTUMISHI WA UMMA jinsi inavyofanya kazi ili kudhibiti upotevu wa haki za watumishi wa umma.
Asante!
... kumbe hii issue ya kubambika kesi nikajua ni polisi kumbe hadi TAKUKURU ipo? Dah; kwanini hao waliofungua hayo mafaili ya kubambika raia wema kesi wasitimuliwe na kushitakiwa? Huu ujinga utaendelea kutamalaki hadi lini!Hii ni baada ya kutakiwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa kesi za kubambika.
====
Rais Samia Suluhu amesema Takukuru wamefuta kesi 147 ambazo waliwabambikizia watu. Awataka Polisi kupunguza kesi za kubambikiza.
Hizo kesi za mafisadi zina miaka mingapi? mbona haziishi lego lake ni nini? Mbona mafisadi wenyewe wako mitaani?Kinachotafutwa hapo ni kufuta kesi za mafisadi. Mama kashauriwa ila wenzake wanajua lengo lao nini 😂😂
Kwakweli inasikitisha na hizo ni Takukuru tu. Pata picha huko polisi ziko ngapi?... kumbe hii issue ya kubambika kesi nikajua ni polisi kumbe hadi TAKUKURU ipo? Dah; kwanini hao waliofungua hayo mafaili ya kubambika raia wema kesi wasitimuliwe na kushitakiwa? Huu ujinga utaendelea kutamalaki hadi lini!