G
Kimsingi amedhihirisha rasmi kuwa mama abdul ni muhusika mkuu.Nani ni mshauri wa rais Samia?
Gwajima amezungumzia utekaji na watu wanaopotea, rais ni kama amemchukia, sasa hapa rais anatuambia nini watanzania?
Hamna kitu kama hicho mkuu, hakuna aliyewahi shindana na dola akatoboa hapa Africa.Gwajima alikuwa a asubiri mda kama huu sasa .. panaanza chimbika
Kwani mtu asipokuwa mbunge basi ajitoe CCM?Gwajima ajitoe tu ccm.
Mitano tena busara ndo kakosaga kabisa (Jitu, Magwajima)...Kauli kama hizi hazifai kutolewa na Rais anayejitambua.Angalia Samia alivyofura kwa hasira!View attachment 3351087
Kwamba chadema ikigombea itamshinda? Mtu haguswi na mauaji ya vijana aje kuguswa na kijiuchaguzi. Yani ataiba hadharaniHaya ni makosa ya Chadema, mnamwachaje samia agombee urais peke yake? Bora hata akina John mrema waliyepinga Samia kupitwa bila kupingwa.
📌📌📌Siku zinakimbia sana🤣🤣🤣🤣📌📌📌📌2020-Nileteeni gwajima
2024-Magwajima yaachwe nje huko
Kwani Gwajima anakosa gani hadi huyo mbibi akasirike? Kwamba huyo mwanamke anaweza mtisha gwajima au NAFASI ndio inamtisha Gwajima?Samia ni kiongozi mkuu lazima awakemee wapuuzi, ulitaka acheke? We ni zombie kweli. Hv ht akili kdg hauna? Samia ashindane na Gwajima? You must not be serious! Ushabiki mwingine lazima uwe mwendawazimu, Samia anaweza kumfanya Gwajima akakimbia hii nchi na hakuna ht mtu atakohoa, we hujui nguvu ya Rais wa nchi km yetu, sema tu mama yetu ni mcha Mungu wa ukweli, watu watumie hekima watumie hiyo nafasi vizuri. Huo ushabiki wenu haumsaidii chochote labda km ni mhusika ni mpumbavu
Wewe ni msukule wa Gwajima?We umeona Gwajima anashida ya kuwa Mwanasiasa?
Kwa tume ya uchaguzi iliyopo ni kama kumsindikiza mshindi ..., hasa nafasi ya raisHaya ni makosa ya Chadema, mnamwachaje samia agombee urais peke yake? Bora hata akina John mrema waliyepinga Samia kupitwa bila kupingwa.
Hiyo namba 16 nimeipemda. Tunasemaga mbeba maono hafi kwa namna yoyote ile kama ambavyo risasi 37 hazikutoa uhai wa Lissu ila Mafua tu yakatoa uhai wa JIWE.Mambo Kadhaa kuhusu Askofu Gwajima
1.Mtu mwenye Misimamo katika Vitu anavyoviamini
2.Mtumishi wa MUNGU kweli kweli asiebagua Watu Kwa sababu ya Itikadi zao za Kidini,kabila Elimu jinsia ukanda,vyama
3.ANA HEKIMA mnoo kwa NEEMA ya MUNGU,ya Kuwafahamu watu,majira ni Kipi kifanyike
4.Anajua majira Ya kuzungumza na Majira ya kunyamaza na Azungumze nini
5.KITU ambacho HANA ni WOGA
6.Ametengeneza Watu Wengi wa Namna Yake
7.Maswali yake Ni ngumu sana kumpatia majibu sahii
8.Ukimtega kwa maswali au Maneno utabaki mdomo wazi ukistaajabu Hekima yake
9.Usiwe mwepesi Kumjibu unaweza jikuta umejibu upumbavu mkubwa mnoo hadi watoto wadogo wakashangaa
10.Kabla hajanena wala kufanya chochote anajua kabisa nini kitatokea hivyo siku zote Haofii matokeo
11.Analipenda Taifa lake kuliko chochote, hupenda kujiita Mr Tanzania 🇹🇿
12. Amefanya Mengi na ameongea mengi,ameshauri mengi ya kuiponya nchi yetu na Kuisaidia
13.Hutokea Hasa Taifa linapokuwa kuwa katika nyakati ngumu
14.HUWEZI kumuonga Kwa Vyeo wala Mali
15.Ametumwa kwaajili ya saa na Majira haya 🇹🇿
16.Hafi leo wala Kesho Mpaka amalize Ajenda ya Kiufalme
17.Ukishindwa Kushindana naye Ungana naye tu hata kwa Unafiki kwa Sababu Huwezi Kumshinda
Kama unampenda Gwajima ongeza walao mambo matatu Mazuri kuhusu Askofu Gwajima na share Kwa wingi
#TANZANIA 🇹🇿 KWANZA mengi Yote Baadae.
C & p
Katika kitu ambacho sifanyagi ni kuargue na watu wanaotumia matako kufikiria.Wewe ni msukule wa Gwajima?
Mambo Kadhaa kuhusu Askofu GwajimaSimple and clear, ametoa go ahead na yanayofanyika.
Gwajima hashindani na dola mkuu.Hamna kitu kama hicho mkuu, hakuna aliyewahi shindana na dola akatoboa hapa Africa.
Ufike salama ndugu msukule.Katika kitu ambacho sifanyagi ni kuargue na watu wanaotumia matako kufikiria.
Byeeeeeeeee
Mwambie aendelee kuua ila kumbuka karma is realSamia ni kiongozi mkuu lazima awakemee wapuuzi, ulitaka acheke? We ni zombie kweli. Hv ht akili kdg hauna? Samia ashindane na Gwajima? You must not be serious! Ushabiki mwingine lazima uwe mwendawazimu, Samia anaweza kumfanya Gwajima akakimbia hii nchi na hakuna ht mtu atakohoa, we hujui nguvu ya Rais wa nchi km yetu, sema tu mama yetu ni mcha Mungu wa ukweli, watu watumie hekima watumie hiyo nafasi vizuri. Huo ushabiki wenu haumsaidii chochote labda km ni mhusika ni mpumbavu