Machame Juu
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 1,514
- 3,363
Cc Secret IDUsd ml37 hadi usdml86!!!
Hapana Mh Rais umezidi kuwachekea ni Tsh bilion ngapi hizo zanaingia mifukoni mwa watu?
Ndio maana kuna wapuuzi wanatuambia humu Mama kafungua Nchi kumbe ni kwa style hii?
Hao TISS wetu wapo kwa ajili ya kuchunguza upinzani ni pro politics zaidi sio pro economics..Naomba kuuliza hivi TAKUKURU na watu wa intelligence hawawezi zuia haya mambo Hadi waache wizi umefanyika?
Kwa hiyo alikosa umakini kujua kuwa atanukuliwa vibaya!A
Alinukuliwa vibaya
Mama alisema wale urefu wa kamba zao.
Nchi uwizi haujaanza leo wala janaAmechelewa kugundua lakin sio sana akianza kutake action
Kwa leo Mama funga yake imepita bure baada ya kutukana!!?Leo kaongea kwa hasira sana na matusi kibao hhaaa wabongo bila nguvu hawaeleweki
USSR
Nategemea hatua zaidi kuchukukiwa pia Bunge nalo lije na maazimio ya kuwashukisha adabu wahusika.Kwenye Hotuba yote ya mheshimiwa Rais naweza kusema alikuwa anasema kwa moyo wa dhati na wenye lengo la kuwataka watendaji walisaidie taifa.
Lakini hadi kufika eneo hili kwenye clip hii hapa chini, mama alikasirika sana yaani sana hadi kutoa lugha inayoonyesha alikerwa hasa.
View attachment 2570051
Ukute hizi Arlteza zilizotapakaa mjini kumbe ni za hela za kupiga ndio maana wakifumua bajali wanateleza.
Tatizo àkiaanza kuwashuhulikia vinakuja vijitu vinaanza kuleta Mambo sijui haki za Binaadamu na ujingaujinga mwingi tu!!Ndio maana wengine Mungu hakupenda tuwe Viongozi...hakika kwa mtu kama mimi Leo kungekuwa na Maturubai sehemu nyingi sana.
Hahaha cheka sana.Ukute hizi Arlteza zilizotapakaa mjini kumbe ni za hela za kupiga ndio maana wakifumua bajali wanateleza.