Rais Samia: Waliopokea ongezeko la gharama za ununuzi wa ndege ya mizigo waachie nafasi zao watupishe

Hivi kweli from 37 to 86$ kweli? Hapana aisee, viongozi wa hili taifa kuweni na huruma wananchi wanaishi kwenye tope la ufukara.

Ndege haiwezi kupanda bei kiasi hiki sema tu hawa wajuba wamemzoea Rais kupita kiasi jamani, inafika wakati unajiuliza nchi yetu inaenda wapi?

Kwa mfumo huu kama mwalimu anapewa laki tatu anaoga vumbi la chokaa la kutosha huku kiongozi anatembelea VXR V8 ya millioni mia saba, anapiga pesa za umma millions of dollars halafu akija anasema CCM oyeeeee! [emoji22]
 
Kumbeee!

Kwani pesa ya kustaafu ni sh ngapi kulinganisha na zilizogawanwa?

Bila kufungwa jela! Ni bora kuiibia serikali
 
Huku tozo,TRA kukimbizana na wafanyabiashara,shule hazina madawati,Mishahara ya watumishi wa umma kilio.

NB HAO HAO WAPUUZI ukiwasikiliza majukwaani wanakwambia vijana mjiajiri,shenzi type
 
Akubali sasa kutengeneza mifumo imara ya kuwabana watu wa aina hiyo. Kinyume na hapo, kila kiongozi atakayekuja, ataishia tu kupiga kelele na kutukana; halafu upigaji utaendelea kuwepo nchini kama kawaida.
Samia atatengeneza maana no way out utasimamia rasilimali za Nchi kutokea Magogoni.
 
Akubali sasa kutengeneza mifumo imara ya kuwabana watu wa aina hiyo. Kinyume na hapo, kila kiongozi atakayekuja, ataishia tu kupiga kelele na kutukana; halafu upigaji utaendelea kuwepo nchini kama kawaida.
Hivi wakati jeshi la mtu mmoja akiona vitu kama hivi kuna wakati alikuwa anafurusha watu kwa uzembe, vipi ile haikuwa sawa ili Bimkubwa naye achukue hatua kama zile?.
 
Sukuma ndani hao kuwafukuza tu haitoshi cio hao tu ripoti ya CAG inaonyesha jinsi gan kodi zetu na tozo zetu zinavyotafunwa bila huruma ushahidi wa CAG unatosha kuwafikisha lupango wahusika lkn suruhisho ya hayo yote ni katiba mpya tu ccm janga la kitaifa
 
Kwenye SGR na kwenye bwawa rufiji pesa imeongezwa pia Ila huko wapo kimya
 
Hivi wakati jeshi la mtu mmoja akiona vitu kama hivi kuna wakati alikuwa anafurusha watu kwa uzembe, vipi ile haikuwa sawa ili Bimkubwa naye achukue hatua kama zile?.
Tanzania inahitaji mfumo imara katika sekta zake zote. Na siyo mtawala mkali na mwenye mihemko kama alivyokuwa Magufuli. Mfumo imara katika nchi, ni rahisi kudhibiti upigaji kama huu.
 
Watapisha tu wenyewe pasipo kuwajibishwa? Tuna Rais wa ajabu kabisa kuwahi kutokea
 
Akubali sasa kutengeneza mifumo imara ya kudhibiti na kuwabana watu wa aina hiyo. Kinyume na hapo, kila kiongozi atakayekuja, ataishia tu kupiga kelele na kutukana; halafu upigaji utaendelea kuwepo nchini kama kawaida.
Kateua watu wengi wenye maGodfather, hakuna atayeweza kumgusa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…