Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
[emoji2956][emoji2956]Haitoweza kufanikiwa ..
1.Wabongo hawana muda huo.
2.Wabongo waoga ;inahitajika bomu moja uchwara kila mtu atatafuta njia ya kutokea.
[emoji2956][emoji2956]Dr Slaa anatumia kivuli cha bandari kujisafisha akipewa ubalozi kesho anawasahauni anabadli msimamo watu wa namna hiyo hawapaswi kuungwa mkono hata kama wanapigania a just cause.
DELUSIONSure, nadhani hii mambo inaenda kuwa game changer na inaenda ku-exert pressure kubwa sana kwa watawala
Wizi hisiani mwako....Maandamano ya kupinga serekali ya majizi ya kura ni kosa, ila ya kusifia majizi ya kura ni sahihi.
Ilikuwa 9/12Saa ya Ukombozi ni sasa!
[emoji2956][emoji2956]Sioni kama ni maandamano ya maana! Kwa mikutano mliyofanya kuzunguka nchi kuwaeleza wananchi juu ya mkataba huo,wananchi walishasikia na walishaelewa!
Kibali kitoke wapi?[emoji15][emoji15]Kama inawezekana yakapelekwa mpaka tar 9 December 2023 itapendeza zaidi na yakiwa na kibali itakuwa na nguvu zaidi .
Kuna walakini kwenye afya ya akili ya aliyeandika hili tangazo. Aende hospitali akajiridhishe. Ataandamana yeye na mke wake na watoto wake maana hana mamlaka ya kunilazimisha mimi na familia yangu kufanya anachotaka.Rasmi sasa maandamano yetu ya amani ya kupinga mkataba wa bandari ni tarehe 9 Novemba 2023 kama tamko linavyojieleza. Watanzania anzeni kujiandaa na mvua za manyunyu kabla hatujaanza na mvua za mawe.
View attachment 2777081
View attachment 2777082
Tangazo hili ni comedy, huyu jamaa aanzishe kikundi cha kuigiza vichekesho, ana kipaji.Si maandamano ya AMANI...
Ni maandamano ya UASI....
Yaani ASKARI POLISI aliyevaa sare yake ya kazi....aivue KOFIA na kuvaa BERETI NYEKUNDU AMA NYEUSI dhidi ya watanzania na kiapo chake cha kazi ?!!!![emoji15][emoji15]
Huu ni UASI wa dhahiri.....
Mdude huna lengo zuri na UTULIVU WA WATANZANIA.......
#SiempreJMT[emoji120]
Namchongea🤣Polisi....
Ili yafanyike itabidi tuwakodi wakenya, sisi tutakuwa na udhulu wa kuuguliwa.Rasmi sasa maandamano yetu ya amani ya kupinga mkataba wa bandari ni tarehe 9 Novemba 2023 kama tamko linavyojieleza. Watanzania anzeni kujiandaa na mvua za manyunyu kabla hatujaanza na mvua za mawe.
View attachment 2777081
View attachment 2777082
Alijazwa upepo gani? Mtu kaonewa alafu unasema alijazwa upepo? Hata ingekua wewe wanakuulia binti yako ungesubiri ujazwe upepo ili uikosoe serikali?. Kwa taarifa tu wanaandaa rufaa na watashinda we endelea kuwaza ngono tu.Mbarikiwa huyooo memjaza upepo na ujinga wa uana harakati na sasa yupo Gereza gani wala hamaja mpelekea sabuni tunasubiri miezi 3 tu mbele tuanze mtombea mkewe huko nje na wale vijana wake wote wamesambaratika na wengine wamerudi nyumbani Tukuyu.
Hahaaaaaa, umenichekesha sana. Nani amusement mtoto wa mbarikiwa wewe zwezwe? Kwa influence gani ya mbarikiwa? Yaani gari lipate ajali mtoto aumie kwenye gari alafu usimpeleke hospitali ndio useme ameuliwa? Pumbavu sana nyie machadema.Alijazwa upepo gani? Mtu kaonewa alafu unasema alijazwa upepo? Hata ingekua wewe wanakuulia binti yako ungesubiri ujazwe upepo ili uikosoe serikali?. Kwa taarifa tu wanaandaa rufaa na watashinda we endelea kuwaza ngono tu.
Hii nchi tuna vijana wa ovyo sana
We tukana unavyoweza ila njia ya muongo huwa fupi sana. Kama hana ushawishi mbona mlikua mnamrundikia kesi kila siku mara mfungie usajili n.k?. Nakumbuka mpaka Dr Tulia aliwahi ingilia hilo suala alafu unasema hana ushawishi?. Kingine mtu hawezi kuonewa mpaka awe na ushawishi? Kwani maskini wangapi wanatapeliwa haki zao na ushawishi hawana!! Au kwa akili yako ni mpaka uwe na ushawishi ndio uonewe?Hahaaaaaa, umenichekesha sana. Nani amusement mtoto wa mbarikiwa wewe zwezwe? Kwa influence gani ya mbarikiwa? Yaani gari lipate ajali mtoto aumie kwenye gari alafu usimpeleke hospitali ndio useme ameuliwa? Pumbavu sana nyie machadema.