Rasmi: Maandamano ya kupinga mkataba wa bandari ni tarehe 9 Novemba 2023

Bila kutumia maneno machafu na kauli chafu naomba ni eleweshwe mojawapo ya kasoro ya huo mkataba (kasoro moja tu yenye masrahi kwa taifa) wa DPW ikiwa uwekezaji uliopo unatuingizia takriban tilion 7 na huu wa DPW utaingiza almost tilion 27. Tatizo ni nini? Ahsante.
 
Bandari haijauzwa....

TPA wanabaki na BERTH 8-11...

DPW wanachukua BERTH 1-7...

Mafuta hayawahusu....

Ulinzi hauwahusu......
TPA berth 0-2

DPW berth 3-7

Anatafutwa mwendeshaji wa berth 8-11.

Pia anatafutwa mwendeshaji wa mbegani Bagamoyo na baadae atatafutwa wa bandari ya Tanga.
 
Nchi yetu nzuri iliyojaliwa utajiri mwingi wa asili imejaa wajinga wa kila aina.

India wametuzidi sana kiuchumi na wameingia mkataba na DP World mwaka huu, wanataka ufanisi katika bandari yao.

Belgium na UK wamekodisha bandari zao kwa DP World, wanataka ufanisi mpana na wanajua hiyo kampuni inao uwezo mkubwa kiasi gani katika masuala ya uendeshaji wa ports.
 
Ujinga tulio nao si pamoja na huu ulinganisho unaojaribu kufanya?
 
Heshima yako mkuu

Binti yake aliuawa au huyu alishitakiwa sasa?

Ana binti wawili? Huyo alieuliwa stori yake ipoje
 
Wanaopinga wanahofia kwamba mkataba hauna ukomo na hata mgao ukiwa kiduchu hatuwezi kuuvunja popote pale otherwise tutalipa damages. Kingine wanahofia kwamba bandari ni strategic sasa ikiwa chini ya mwekezaji kunaweza iumia nchi mfano wakati wa vita alafu wakakataa kupitisha silaha au mafuta!!

Nachokiona hapa watu wana majeraha ya mikataba mibovu ya Acacia, Symbion, IPTL n.k so serikali ilipaswa kuuelezea kwa undani kwa watu wauelewe pennine ingepunguza maswali. Cha ajabu na wao wanatuma kina zembwela kukejeli wanaopinga.

So hapa ni elimu itolewe na maoni ya wananchi yawe factored in ili kuondoa sintofahamu.
 
Ujinga tulio nao si pamoja na huu ulinganisho unaojaribu kufanya?
Ujinga ni kudhani kuwa Tanzania ni sawa na nzi ndani ya chupa ya bia, kwamba tunao uwezo wa kuishi katika dunia hii kwa vigezo na upeo wetu wenyewe.

Tunahitaji sana uwekezaji bandarini ili tuwarudishe wateja wengi walioikimbia bandari kwa mambo yetu mengi ya kijinga pale TPA.

Tunahitaji uwekezaji ili ufanisi mzima uweze kuongezeka na ili SGR ikikamilika iweze kufanya kazi kubwa ya kusukuma mzigo mwingi unaokutana na bandari yenye viwango vya juu vya ufanyaji wa kazi.
 
Afadhali mmesema nibadili ratiba ya nguo, siku hiyo nisije kuvaa kijora changu cheupe mara nakutana na mibaba yenye vitambi inanipigia saluti🤣🤣
 
Ujalazimishwa papai wewe

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
Akili yako inawaza kutomba tu,,,,sasa wew na mbuzi tofauti ni ipi
 
HOSPITAL YA MIREMBE BADALA YA KUJENGWA MBEYA WHY MKAJENGA DODOMA??

HAMUONI WAGONJWA WALIVYO WENGI HUKO MBEYA
 
Nikeshakudharau wewe Joyce Mukya hawara wa Mbowe. Byeeeee
Umdharau nani hata akili Huna? Yaani mtu anapiga kelele jambo la faida yako alafu upo busy kumkejeli? Cha ajabu ukute ni waziri au mbunge huko CCM just imagine the state of our nation!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…