RC Anthony Mtaka wanawake wanapenda uwasifie uongo. Usivuke Mstari watakuchukia sio muda

Sasa hili la jamii nzima, ni lako wewe, sisi tunajadili hili lililopo kwenye huu msemo, otherwise anzisha nawee msemo mwingine wenye hilo ulitakalo.

Usitoke nje ya mada tafadhari.
 
Tatizo la wewe Mpare ni Ujuaji Mwingi, Mbele Giza.
Ndo maana siku hizi umepoteza kabisa ushawishi hapa jamvini.

Kumbe nilikuwa naushawishi Hilo sikuwa nalijua. Nashukuru kuona hata wewe huenda nilikuwa nakushawishi.


Iko hivi "kila mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke nyuma yake"

Ulitakiwa kukaa chini na kutafakari kwa kina hii kauli, kabla hujatoka na kuanza kuandika ili utembee na upepo.

Uliwahi kuona mwandishi ambaye hatafakari? Sifa namba moja ya mwandishi kabla ya lugha ni kutafakari.

Sema wewe msomaji maana sio wasomaji wote Wana sifa ya kutafakari

Mwanamke huyo, anaweza kuwa, Mama, Dada, Shangazi, Binamu, Bibi, Etc, kwa namna 1 au nyingine ktk kukamilisha safari ya mafanikio ya mwanaume huyo.
Hicho ndicho alichokataa Anthony Mtaka.
Na bahati nzuri umejipeleka Mwenyewe kwenye hoja yake. Ambayo inamashiko

Hata mke pia, anaweza kuwa, wapo wanawake walio sacrifice na kujitoa kwa waume zao na mafanikio yakatamalaki ndani yao.

Acha Kukurupuka.

Saikolojia inaonyesha hoja inawaumiza zaidi walengwa, wale inayowagusa.

Hao wanawake wachache wenye michango kwa wanaume hawawezi umizwa na post Yangu, wala kauli ya Anthony Mtaka.

Kwa sababu wanajua ni kweli nyuma ya Mafanikio ya wanaume sio lazima awepo mwanamke.

Ila wale Vishoiya kama wewe lazima iwaume kwa sababu ni kweli mnaona hamna mnachokichangia.

Zingatia kwenye post Yangu nimetumia maneno mengi yanayosema Wanawake wengi. Kumaanisha sio wote.
 
Naomba wee uliyefuatilia asili ya huu msemo ndo uthibitishe kuwa anaye semwa hapa ni mke, mie nimeona "mwanamke" na sio "mke"

Km kawaida yako kutaka kujichukulia points, basi hapa umebugi.

Hii ni tafsiri kutoka kamusi ya cambridge. Cambridge ni chuo kikubwa duniani na hizi kazi huwa zinafanywa na wagu waliobbobea. Unaweza ukatafuta sources zingine wewe mwenye kujielewesha zaidi
 
Noma sana mzee mwenzangu. Hivi nyuma ya mwanaume aliefeli kuna nani? (zingatio: wanaume waliofeli ni wengi zaidi ya waliofanikiwa)
 
Naomba wee uliyefuatilia asili ya huu msemo ndo uthibitishe kuwa anaye semwa hapa ni mke, mie nimeona "mwanamke" na sio "mke"

Km kawaida yako kutaka kujichukulia points, basi hapa umebugi.

Asili ya huo msemo ni kuwapa moyo wanawake, kuonyesha umuhimu wa wanawake katika maisha ya mwanaume.

Lakini hauna ukweli.

Kimantiki hakuna hoja kama hiyo.
 
Fuatilia asili ya huo msemo. Mwanamke aliemaanishwa ni mke. Ndio maana msemo huo unakosa uhalali kwa sasa. Lakini ingekua mwanamke kama mwanamke basi msemo ungekua sahihi, na mwanamke huyo ni mama.
Mbona hata mke anaweza kuwa chachu ya mafanikio mkuu?
 
Huko kwingine hakuna maana, natulia hapo kwenye kusema nimejipeleka kwenye hoja ya mtaka na haina mashiko.

Kwahiyo hao niliowataja hawana mchango wowote ktk mafanikio ya wanaume?? Tena unasema ni juhudi zao binafsi?? Km zipi?

Mtoto wa kiume analelewa hadi kuja kuwa mkubwa , anapewa mahitaji, malezi bora, Elimu, Uchumi ( mtaji, ajira etc) kutoka kwa mama ake au 1wapo kati ya hao niliowataja, afu useme juhudi zake binafsi kwenye kipi??.

Km ni hivyo si wangekua wanaume wote wana mafanikio hapa nchini. Mbona hakuna??

Au wenye mafanikio ni wanaume, na hawa apeche alolo ni kina nani? Wakiume au wavulana??

Au labda "mafanikio" nini maana yake? Huenda mie sijui, kuna maana nyingine ambayo ndiyo mna refer hapa.
 
Kibongo bongo nyuma ya mafanikio ya mwanaume , kuna ukwepaji kodi, utapeli , ujambazi , roho ngumu, kujipendekeza na ukatili wa kutisha , tofauti na hapo tunaisha kwenye nyumba gari na milo mitatu tu๐Ÿ˜…
 
Exception case. In most cases mwanamke ni liability kwenye maisha ya mwanaume. Ukifanya comparison utaona mwanaume ndie anaetoa zaidi.
๐Ÿ˜…kwa sasa sijui ila kipindi cha mama zetu walikua wanawake wa shoka , mimi mpaka leo mama yangu ananisisitiza nije kuoa mwanamke mchapa kazi niwakwepe wale wa kucha ndefu sijui kwa nini๐Ÿ˜ƒ
 
Lazima ujiulize kwa nini mfumo huo uliwekwa? Ulitokea.
Ukijiuliza ukapata majibu ndipo unaweza kupata uwiano mzuri wa majibu
Swali nzuri sana hili,watu wengi hudhani mifumo hutokea tu bila sababu,na mara nyingi hushindwa kuona upana zaidi wa jambo,Bali wengi husukumwa na mkumbo.
 
Noma sana mzee mwenzangu. Hivi nyuma ya mwanaume aliefeli kuna nani? (zingatio: wanaume waliofeli ni wengi zaidi ya waliofanikiwa)
Hapo lazima umkute mwanamke, amekaa analalamika kwa mambo alosababisha mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ