Hata km bado kuna mwanamke nyuma, hadi mwanaume kuwa hivyo. ๐๐๐Kibongo bongo nyuma ya mafanikio ya mwanaume , kuna ukwepaji kodi, utapeli , ujambazi , roho ngumu, kujipendekeza na ukatili wa kutisha , tofauti na hapo tunaisha kwenye nyumba gari na milo mitatu tu๐
Mbona una hasira sana Kwa vitu vidogoWapumbavu hawa, unamuitaje mama yako tegemezi wakati mimba yako aliibeba peke yake mpk akakuzaa?? Umevuta chuchu zake na kakusomesha umefika University umepata ka ajira ka uchawa anaanza kuponda nyoko nyoko mwanamke tegemezi..!! Mapombou yake ๐
Awe anauliza hiyo kauli ya โNyuma ya mafanikio ya mwanaume, nyuma kuna mwanamke shupavu.โ Ina maana gani?
Sio anaropoka km taahiraโฆ!!
Haya hata km ni hivyo, mbona wako wake walio nyuma ya mafanikio ya waume zao.View attachment 3556363
Hii ni tafsiri kutoka kamusi ya cambridge. Cambridge ni chuo kikubwa duniani na hizi kazi huwa zinafanywa na wagu waliobbobea. Unaweza ukatafuta sources zingine wewe mwenye kujielewesha zaidi
Lengo ni kuto onesha mchango wa mwanaume katika hayo mafanikio na uzuri hakuna mwanaume anajali kuhusu hilo.Mwanamke nae akitoboa tunaambiwa ni superwoman sijui malkia wa nguvu. Hatujawahi kuambiwa nyuma yake kuna mwanaume.
Yeah binadamu tunategemeana sana ,binafsi mimi michongo mingi huwa wananiunganishia wanawake, hivyo bado naona umuhimu wao mkubwa snaHata km bado kuna mwanamke nyuma, hadi mwanaume kuwa hivyo. ๐๐๐
Ukweli upi mkuu?Hata sisi mama zetu ni wanawake lakini ndo ukweli
Hakuna mwanaume bila mwanamke, wakatae wakubali,Yeah binadamu tunategemeana sana ,binafsi mimi michongo mingi huwa wananiunganishia wanawake, hivyo bado naona umuhimu wao mkubwa sna
Wewe ni kwanini unaona wengi wanapinga hilo ๐ au mnawapinga mizinga mizito mizito sana vijana๐Hakuna mwanaume bila mwanamke, wakatae wakubali,
Bila mwanamke, hata wao wasingezaliwa, na kuanza kuropoka ropoka hovyo hapa.
Mizinga haihusiani na mafanikio Dr, ๐๐๐Wewe ni kwanini unaona wengi wanapinga hilo ๐ au mnawapinga mizinga mizito mizito sana vijana๐
Mizinga ina uma asikuambie mtu๐Mizinga haihusiani na mafanikio Dr, ๐๐๐
Wasichanganye mambo, woiiiih
Kwani lazima si kuachana nayo tyuuh, na mmesema wanawake hawana umuhimu ktk maisha ya mwanaume, sasa vilio vya nini??Mizinga ina uma asikuambie mtu๐
Mimi nalia na hela ya kulipia uchakavu ipo juu sana ๐ na sio vinginevyoKwani lazima si kuachana nayo tyuuh, na mmesema wanawake hawana umuhimu ktk maisha ya mwanaume, sasa vilio vya nini??
๐๐๐
Ndo uache mambo ya uchakavu, ili ulinde mafanikio yako.Mimi nalia na hela ya kulipia uchakavu ipo juu sana ๐ na sio vinginevyo
Kulipia uchakavu muhimu wewe unafikiri nitaponea wapiNdo uache mambo ya uchakavu, ili ulinde mafanikio yako.
Kelele hazitakuwepo. ๐๐๐
Sasa kelele za nini? Mbona hamueleweki?Kulipia uchakavu muhimu wewe unafikiri nitaponea wapi
Dogo GT Hahaha ๐ nakushauri uswitch kutoka Gambe hadi bangi. Ama komaa na bange pekee yake. Hahaha.Ningekubaliana na wewe kwa 100% kama mama yangu asingekuwa mwanamke
Tatizo sisi tunalipia uchakavu ila kuna wengine wanapewa bure , hapo ndio kuna mgogoro wa nafsi ๐คSasa kelele za nini? Mbona hamueleweki?
Au mnataka uchakavu buree, bila marekebisho au matengenezo? Wengine watatumiaje sasa??
๐๐๐๐๐
Bangi ni taka taka kabisa kuna siku nilivuta nikajiona kama nipo ndani ya kichwa changu napangilia mafaili ya kumbukumbu ๐ฎDogo GT Hahaha ๐ nakushauri uswitch kutoka Gambe hadi bangi. Ama komaa na bange pekee yake. Hahaha.
Sasa kelele za nini? Mbona hamueleweki?
Au mnataka uchakavu buree, bila marekebisho au matengenezo? Wengine watatumiaje sasa??
๐๐๐๐๐
In most cases huo mchango unakuaga ni intangible contributions. Kwanza umekaa kisiasa zaidi yaani hauonekani, haupimiki vilevile ni mchango ambao hata kama mke asingekuwepo bado mwanaume angeweza kutoboa tu.Haya hata km ni hivyo, mbona wako wake walio nyuma ya mafanikio ya waume zao.