KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Kwa kweli wapangwe ili na wao wawe wanalipa kodi ya fremu na kodi za serikaliKuna machinga wengine wapo vizuri ,kuna mmoja yupo k/koo ana mjengo wa maana full fensi,msoth juu,aluminium window....ukiambiwa mjengo wa mmachinga unakataa.
Tunapishana uwezoHivi kuna watu wanakula kweli hivyo vyakula? Mimi siwezi na watu wote wangekuwa na moyo kama mimi hao mama ntilie wangekuwa wameshaacha kufanya hiyo biashara barabarani
Kule baharini kulikuwa na Mama Lishe,baada ya Ruksa ya kufanya biashara popote wamehama kwenye vile vibanda vya baharini na kuhamia barabaraniPosta hawali kachumbari bwashee?
Afu kodi za serikali waendelee kutokulipa sio?.Ni vyema mkuu wa mkoa akawaacha watuwafanye biashara huria la sivyo uhalifu unaweza kuongezaka mtaani maradufu.
Ila siku magari yakiwazoa wakafa bado atalaumiwa serikali sio?.Yeye anajua hilo? Akishakua kwenye kiyoyozi akili yake yote inahama.
Ulitaka niandikeje we boyaNi rahisi kuandika hivyo ukizingatia kuwa kutype kwenye simu yako hakukugharimu kitu chochote.
Enzi za dikteta asingethubutu kutamka hivyoRC Makala amesema wafanyabiashara ndogondogo jijini Dar es salaam wamekaa bila utaratibu maalumu na barabara zimezibwa na sasa wanalikaribia geti la Ikulu.
Makala amesema hali hii haikubaliki na ni lazima wafanyabiashara hao wapangwe upya katika utaratibu rasmi kwenye maeneo yote ya mkoa na waliopo barabarani na mbele ya maduka au ofisi za watu wengine wataondolewa.
Chanzo: ITV habari!
Ujinga tupu mkuuNchi iliyokosa mpangilio ni shida..kila mtu anaamua anachoweza..mtu akikosa ela ya kupanga fremu anaenda barabarani kujenga kibanda...huu ndo unyonge au ujinga.
Ha ha ha!! Kumbe ni wakigoma na wakinga!!!Kama vipi awapatie usafiri warudi makwao huko kigoma & ukingani
Nadhani wengi ni watoto wa shule za kati au watu wanajitoa uelewa.Mara nyingi huwa nasema humu kwamba mambo mengi ya humu mitandaoni huwa si picha halisi ya huko mitaani ila watu huwa wananikatalia.