Unawahusu watawala wa sasa pia. Na kikubwa zaidi unamhusu Magufuli pia.
Aliekuwa anawananga wenzie kuwa walikuwa na serikali za ovyo! Ni ******** au mhe. Samia? Hyo ndo heshima iliyorudishwa serikalin na ********! Mlez wa sabaya amrish puri
 
Watapigwa mawe hadi wafe,
 
Serikali ya chama cha mapinduzi, ndiyo inayowajibika! Kuanzia Sukuma gang, mwendakuzimu mpaka Mama Jamila mpaka Humphrey Hadi kina Kayanda na wazanzibara wote wanahusika!
Siyo mwenyekiti Tu peke yake!
Nimecheka Sana ..[emoji2][emoji2][emoji3] eti mwendakuzimu...
 
Awamu chafu kabisa na bado madudu yao kwanza yanaanza kufukuliwa.
 
Msidhanie watu wote ni wajinga. Kuna mabadiliko ya serikali tangu JPM afe?

Hii ni serikali ilele na na wala hakuna uchaguzi mpya uliofanyika.

Ufisadi huu unawahusu hata watawala wa sasa.

View attachment 2187985
Basi likipata ajali na dereva akafa. Utingo huwa anashtakiwa au kubeba lawama kwa sababu alikuwa mtumishi wa basi?
 
Typing error, serikali imesahihisha, ni pikipiki 268, nyie ndio mwalimu anawaambia darasani, "sema A" na wewe unamjibu "sema A"
wewe lofa mimi naongelea hayo hayo masahihisho, wamenunua pikipiki 268 kwa cash ila wamepokea 68 tu, yaani pikipiki zimekua ndege, unanunua kwa awamu?

"Usahihi ni kuwa pikipiki zilizonunuliwa zilikuwa 268 na pikipiki zilizopokelewa kwa awamu ya kwanza ni 68 ambazo zimesambazwa kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa, tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza"
 
Acha ubwege, unadhani pikipiki mi sawa na sahani ya makande unayonunua kwa mia tano mtaani kwenu
 
Yaani madudu yote haya hamna aliyeitwa tkkr? Shenzi zenu
 
Mkuu, tumpe mama muda, Samia kaipokea nchi ikiwa imeharibika kimfumo, utawala wa sheria uliwekwa kampuni, Sasa mama anayafufua mambo yote na kuyaboresha
Kwani kabla alikuwa ukrane? Mkia na mbwa utawatenganishaje
 
Awamu ya tano ilikuwa ya hovyo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…