Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watashambuliwa kwa mawe.....
Itisheni mikutano ya hadhara muwaeleze wazi wazi wananchi vitu hivi. Mbona mnajifungia kwenye kumbi na magazeti? Mje mbele ya raia muwaeleze haya tote mnayoandika magazeti, na kuyasema kwenye viako vyenu vya ndani, na kumbi mbali mbali wawaelewe vizuri wananchi. Rahisi tu!
Kumbe mnajijua?Vyeti fake tupo wengi humu JF tumeumizwa sana awam ya 5 ngoja tuteme Nyongo😂😂😂😂😂😂
Report ijayo haitakuwa na mapungufu yoyote yale.Ripoti ijayo ya CAG kwa mfano sioni ni kwa namna ipi ikija na mapungufu atasingiziwa Hayati
Hili hawezi kuliepuka kamwe..ni yeye ndie atakuwa anaendeleza hiyo Hasara kwa kununua ndege kwa pesa taslim bila kuangalia tija ya biashara hiyo!Hasara ya ATCL
Sasa si wasitishe kama bado wanajiendesha kwa hasaraHili hawezi kuliepuka kamwe..ni yeye ndie atakuwa anaendeleza hiyo Hasara kwa kununua ndege kwa pesa taslim bila kuangalia tija ya biashara hiyo!
4000 tu; yatafika hata 5000. USD yenyewe si unaona inavyokimbia?Ngoja mafuta yapige 4000 per Lita ndiyo tutaelewana.Angekuwa JPM yupo kwake issue ngumu za global jamaa alikuwa mtaalamu angewashangaza.Corona ilishughulikiwa kiaina yake
Si waziuze kwa pesa taslimu kuliko kutuongelea pumba hapa.Hili hawezi kuliepuka kamwe..ni yeye ndie atakuwa anaendeleza hiyo Hasara kwa kununua ndege kwa pesa taslim bila kuangalia tija ya biashara hiyo!
Mwambie bashungwa awajibike basiHuyo jamaa yenu alikuwa ni one man show hivyo haepuki lawama, mama hayuko huko. Kila mtù atawajibika pale alipo!
Jiwe alikuwa fisadi mkuu, nyie wafuasi wake mmekuwa mazezetaWe bwege unayemwagwa maji
Kkkkenge ww, Wai chatttle kaimarishe lindoUmezoea kupakatwa.
Bado hajasikika kuwa wananchi zaidi ya milioni arobaini!Kwani CAG hajaweka wazi?