Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hiyo ndiyo kazi ya sukuma gang ya kulinda legacyReport ya CAG inakua rubbish kwasababu amefichua ufisadi wa Magufuli???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ndiyo kazi ya sukuma gang ya kulinda legacyReport ya CAG inakua rubbish kwasababu amefichua ufisadi wa Magufuli???
Ndiyo maana walikuwa wanalazimisha kubadili katiba ili watawale milele kusudi ufisadi wao usijulikane kwa watanzania.CAG anapambana na marehemu au anatoa report ya wizi mliofanya mkishirikiana na marehemu Pombe??
Umekosa hata cha kuandika wewe chawa wa jiweChama chenye mwenyekiti tajiri kuliko wote akiombaomba mtaani.View attachment 2188074
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Lazima spana zitagongwa sana hadi mseme ukweli kwanini mlikuwa mnakwapua mali za watanzania.Bado mna safari ndefu sana
Ngoja nikuripoti ufungiwe ili upate akili ya ustaarabuZwazwa baba yako
Ana maanisha sukuma gangMzee wa watu gani?
Utamfanya ashindwe kunywa uji huyo chawaHao mnao hadi 2035! Jipangeni
Jamani sasa si ndiyo tunamtoa kambale majini ili Aache kuyachafua Maji yetu ya kunywa. Na kizuri kambale ni kitoweo.Hiyo haituhusu maana ufisadi ndani ya ccm ni sawa na kambale na maji
Taratibu ndugu yangu chawa wa sukuma gang.Hizi propaganda za BAVICHA, threads kila kukicha zinadurufu mada ile ile alafu moderator wanaziacha, Kwani ule mpango utaisha lini?
Kama walioiteka JF wanaamini Magu alikuwa fisadi si inatosha, mbona hamjiamini kurudia kile kile?
Unaweza ukaiteka JF lakini si akili za watz wengi, hamkujifunza wakati wa uchaguzi?
Punguza jazba wewe mjane.Unawashwa?
Ni kweli si kosa lakini kunatuongezea mzigo wa kuitwa wanafiki na waoga! Hii mizigo ni mizito sana kubebwa na mtu mwenye nia njema na jamii.Kuwa Keyboard warrior sio kosa pia.
Pongezi za kipekee zimwendee mzee wetu CAG Kicheere kwa kuibua ufisadi wa awamu ya 5Jamani sasa si ndiyo tunamtoa kambale majini ili Aache kuyachafua Maji yetu ya kunywa. Na kizuri kambale ni kitoweo.
Asubuhi njema, Mkuu.
Matendo yake ndo yanayomchafua...hakuwa msafiMnajitahid sana kumchafua mzeee wa watu [emoji119]
Chama aminifu,Chama Cha watuwahaki Chama Cha watanzania,hakuna wizi ila Kuna kujitolea zaidi Kwa ajili ya watanzania na Kwa ajili ya taifa🤔Kwenye Joni ze cheni Leo umevuna ngapi? Maana mnakusanyia kwenye viroba, mnapiga kwelikweli, maana hata anayehesabu fedha baada ya makusanyo hajulikani
Chawa kama wewe kazi yako inajulikana kuwa ni kutetea ufisadi wa awamu ya JiweMbona huo ufisadi hauonekani?
Usiishi katika uwendawazimu.Msidhanie watu wote ni wajinga kama nyie msivyo na akili. Kuna mabadiliko ya serikali tangu JPM afe? Hii ni serikali ilele na na wala hakuna uchaguzi mpya uliofanyika. Acheni ubumunda ufisadi huu unawahusu hata watawala wa sasa.View attachment 2187985