Ripoti hii ya CAG asilimia kubwa ni ya enzi ya utawala wa Jiwe, ulijaa upigaji
Kama mambo mazuri alipewa yeye Magu peke yake, kwanini mambo mabaya mnataka kila mtu apewe?
 
Chama chenye mwenyekiti tajiri kuliko wote akiombaomba mtaani.
JamiiForums461950302.jpg


Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Hizi propaganda za BAVICHA, threads kila kukicha zinadurufu mada ile ile alafu moderator wanaziacha, Kwani ule mpango utaisha lini?

Kama walioiteka JF wanaamini Magu alikuwa fisadi si inatosha, mbona hamjiamini kurudia kile kile?

Unaweza ukaiteka JF lakini si akili za watz wengi, hamkujifunza wakati wa uchaguzi?
 
Msidhanie watu wote ni wajinga kama nyie msivyo na akili. Kuna mabadiliko ya serikali tangu JPM afe? Hii ni serikali ilele na na wala hakuna uchaguzi mpya uliofanyika. Acheni ubumunda ufisadi huu unawahusu hata watawala wa sasa.View attachment 2187985
LEO NDIYO NIMETHIBITISHA WEWE SIO CHADEMA ILA NI SUKUMA GANG
 
Back
Top Bottom