ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 10,292
- 4,976
Hahahhaha hata Ruto hakutegemea kuitwa wala Joshua arap sang hakutegemea maana hawakuua halaiki we endelea kujipa moyoHata hwatait
Hata hawataitwa, hayo niawazo yako tu.
Nataka niwashauri bavicha, kila anachofanya magufuli kam miundo mbinu madege na mikopo ya halimashauri msitumie wala msichukue,, ili mmkomeshe magufuli na serikali yake,
Mahospital msiende, mwende kenya na huduma za serikali msitumie, ili muanze nyoe kuweka vikwazo kwenye hii serikari.
Anachokifanya Amsterdam ni sawasawa kabisa na kupeleka kesi ya wizi wa kuku mmoja mahakama kuu 😃😃😃
Tatizo la BAVICHA na viongozi wao shule ndogo, hawajui hata ICC ni kitu gani, mradi mzungu amesema wao ni kushangilia tu, so ignorant.
Hivi hata hamuoni yanayoendelea kwenye nchi nyingine, kwa mfano mnajua kilichotokea Guinea hivi karibuni? Mnajua yanayoendelea Uganda kwenye kampeni za uchaguzi?
Ahahahahahah! I'm looking forward see the end of this, because there are very stupid people who think will be baby seated on the throne by beberus! Ahahahahahah!Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:
With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
Naona ungeandika tu kiswahili kuliko hiyo lugha yako...wengine hizo lugha za kuja na meli hatuzijuiWhen a person has been self-deceived to not go certain direction or do what is right, it is very common for them to fabricate every EXCUSE possible; are even readily disposed to accepting any kind and any amount of lies that may tend to lead them in their own way of choosing. ~ Thomas Jefferson
Kwahiyo la Kenyatta na Ruto huwa wana refer back sio? Basi jitahidi umkumbushe hilo Lema! Ahahahahahah!!Kuwa na file ICC inatosha kukuweka sawa maana ile ni reference chochote kikitokea wata refer back.
Pia ufahamu kuwa uminwaji wa haki za binadamu una over ride presidential immunity.Kwahiyo la Kenyatta na Ruto huwa wana refer back sio? Basi jitahidi umkumbushe hilo Lema! Ahahahahahah!!
Nashukuru kwa jibu zuri. Ngoja nimfowadie Lema.Pia ufahamu kuwa uminwaji wa haki za binadamu una over ride presidential immunity.
Hakuna mtu anaemchukia Magufuli. Watu wanachukia/wanakerwa na matendo yake ya ukatili dhidi ya Binadamu wengine.Hiyo kesi haitofika popote.
Ni hifadhi tu ya faraja kwa wale wanaomchukia Magufuli.
Kwanini Internet ilizimwa wakati wa Uchaguzi?? Kulifichwa nn??ICC ni watu wapuuzi sana na hawastushwi na vifo vya raia wachache. Wao huwa wanasukumwa kuchukua hatua dictator mmoja akiua maelfu ya watu
Tanzania hatujafikia hiyo hatua ya ‘massive crimes against humanity’. Nina imani hata Amsterdam analijua hilo na anajua fika kwamba ICC hawatofanya lolote. Kama kesi ni kuibiwa kura, ICC huwa haideal na kesi hizo
Rabid dog!Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:
With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
Kulifuchwa kuraKwanini Internet ilizimwa wakati wa Uchaguzi?? Kulifichwa nn??
Pumbafu kabisa.akili za nyani hiziMungu alijua hilo na ndio maana aliwapa hawa wenzetu uwezo ili watudhibiti.
Dah... kwani Magufuli anaenda wapi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu 'Mume' wenu 'Wapuuzi' fulani fulani ameshawaambia kuwa mpaka hivi leo amezifungulia Kesi ngapi nchi za Ulaya aliko hadi huko Marekani?Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:
With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
Duu watu wanapo jivua nguo wenyewe wazi kweupee.