Ruble ya Urusi inazidi kuchanja mbuga kwa kuongezeka thamani

Marekani wangekua wanajali raia wao wasingekua wanalala nje kama maeneo fulani ya nchi fulani pale EA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A lot ni kiasi gani?
Utaje huo utajiri wa Biden na kiasi gani amewekeza China.

Ukielewa mfumo wa uongozi wa Marekani utafahamu ni kiasi gani ilivyo vigumu kwa Rais wa Marekani kuiba pesa za wananchi.
Je vipi kuhusu utajiri wa Biden aliowekeza china alot of Usd billions je na yeye aliwaibia wamarekani
 
Unadhani watakao fanya hivi ni marekani na ulaya tu unadhani naye china hatofanya hivo?
Itafika mahali uchumi wa China utaelekeza wafanyakazi wa China wapate malipo sawa na wenzao wa Ulaya na Marekani. Siku cheap labour ikikata China watu wataibukia kwingine duniani kuweka viwanda vyao.
 
Nilifikiri unapinga kwamba China sio nchi ya kidekteta na hivyo maamuzi yake kwenye kupambana na Corona sio ya kidemokrasia.
Ulitaka wawachekee wakati Shanghai iko high populated 27mil kitu ambacho itakuwa mbaya kwa china nzima tena Shanghai wazee wengi hawajawa vaccinated hiyo ni hatari kwa usalama wa raia
 
Sidhani hivyo, tunahitaji sana Wachina waje kuweka viwanda vizito Africa badala ya kukomba tu rasilimali zetu na kutuuzia cover za simu, urembo na toothpicks.
Unadhani watakao fanya hivi ni marekani na ulaya tu unadhani naye china hatofanya hivo?
 
A lot ni kiasi gani?
Utaje huo utajiri wa Biden na kiasi gani amewekeza China.

Ukielewa mfumo wa uongozi wa Marekani utafahamu ni kiasi gani ilivyo vigumu kwa Rais wa Marekani kuiba pesa za wananchi.
Zaidi ya dollar billion 1.5
 
Nilifikiri unapinga kwamba China sio nchi ya kidekteta na hivyo maamuzi yake kwenye kupambana na Corona sio ya kidemokrasia.
Ni wapi nimesema nchi ya kidikteta na maamuzi yake ya kidikteta au kuwa na misimamo mikali ni udikteta?🤔
 
Lini na sisi tutaanza kutumia rubli.Natamani kuona sura ya noti ya rubli kwa aliyenayo.
 
Kweli elimu ni muhimu Kwa watanzania kwaiyo unaona mafuta yanatumika kwenye magari Tu hopeless kabisa
 
Sidhani hivyo, tunahitaji sana Wachina waje kuweka viwanda vizito Africa badala ya kukomba tu rasilimali zetu na kutuuzia cover za simu, urembo na toothpicks.
Sasa ndio inabidi serikali yetu ijue inahitaji aina gani za viwanda? na je hao cheap skilled labor wakuperform kwenye hivo viwanda wanapitakanaje / mfumo wa elimu unazalisha cheap skilled labor?

Mfano: Tunapaswa kuanza na viwanda vya kuzalisha cheap products kwa nchi za vipato vya Kati Kama magari cheap kutoka china inabidi sisi Kama Tanzania tuwetunazalisha hapa na kuuza kwenye nchi za vipato vya Kati tofauti na kuagiza china, hivo hivo tunahitaji viwanda vya kutengeneza piki piki, bajaji hapa hapa Tanzania yaaani vifaa vya usafiri vilivyo cheap na sio kuunganisha tu, bidhaa zote cheap kwa nchi za vipato vya Kati tunapaswa kuzalisha sisi Tanzania kwa msaada wa nchi za China , Ulaya kwa viwanda watakavyojenga
 
hakuna sarafu yenye thamani kubwa duniani kama dinari ya kuwait ila kuwait wanahitaji USD/EURO ili wafanye biashara na nchi zingine duniani,
 
Kweli wajinga hawajawai kuisha embu jifunze ufunguaji WA makampuni China unavyokuwa unaisi wale ni wajinga kama Sisi viwanda vyote vilivyopo China ambavyo vimetoka nje ya China lazima mzawa amiliki asilia flani ya hisa Kama kampuni itakuwa inaoperet ndani ya China unaisi mabilionea wanaotokea China wanatokea Kwa bahati mbaya makampuni mkubwa yaliyopo China asilimia zaidi ya 50 zinamilikiwa na wazawa kitu kilichowapa pesa na kuanza kununua makampuni ya ulaya na Marekani wachina wamenunua makampuni makubwa sana ya ulaya na wanatoa udhaminj Hadi Kwa clubs na timu nyingi za kikapu za marekani na ulaya Rudi nyuma Kwa swala la Ozil kuongelea waislam WA China wanaofungwa kwenye makamp Hadi kufikia kuwekwa pembeni kwenye kikosi hii yote ni ushawishi WA wachina kutaka kujitoa kwenye udhamni WA timu ya Arsenal timu nyingi kwenye pree season kaszima wakacheze mechi za kirafiki China unaisi wanaenda Kwa kujikomba Hadi kufika 2035 magari mengi ya umeme yatakuwa yanatokea China kuliko sehemu nyingine duniani na yote yanamilikiwa Kwa asilimia kubwa na wachina wenyewe unaisi wajinga jinga kama ww wale
 
Umejaza seva za jf kwa porojo bila ushahidi wowote.
 
Ayo mafuta na gesi wanakunywa wenyewe wengi tulikuwa hatuijui Rusia vizuri Ila baada ya hii vita tumejua umuhimu WA Russia duniani Hadi ww uko porini kwako unalia kilio cha kuilaumu serikali mafuta yamepanda na serikali yako wanailaumu vita ya Rusia na ukrein ulaya yote inategemea nishati ya Rusia alafu unakuja kulia apa kuwa anauza snaa silaha nje kuliko chochote kweli wee kiazi
 
Acha kamba basi unaisi COVID inadanganya China iliwahi kuchukua hatua stahiki tofauti na ulaya hasa marekani ambao waliona uwoo ugonjwa haiwezi kuwafikia sababu ya umbali au waliona watauwai kama ebola China iliadhirika lkin siyo sana na kinachotokea saivii ni katika Hali ya kuiwahi isienee sana sababu China maeneo ya mijini kuna idadi kuwa ya watu bila kuiwahi na kuweka lockdown maambukizo na vifo vitakuwa vingi na kueneo Kwa uraisi Kwenye maeneo mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…