mwaka jana kwenye maji malalamiko yalikua hivihivi, lakini pia kwenye afya na chakula ....Litapita lakini watanzania watabaki bila umeme, bila huduma bora za afya, bila elimu bora n.k
Kiongozi wa nchi masikini, kuvaa saa ya milioni 100??Sioni kama ni kitu cha ajabu ni mtumishi wa umma kwa miaka mingi, which means she can afford hicho kitu.
Mama yako ni kiongozi wa nchi ambayo wananchi wake wanaishi kwa chini ya dola 1 na hawana uwezo wa kupata milo mitatu kwa sikuSIONI SHIDA MAMA YETU KIPENZI AKIPENDEZA
Sheria hairuhusu mtumishi wa umma kupokea zawadiLabda alipewa Zawadi huko. Safarini yaani hakununua kwa pesa zake ingawa kama Rais wetu ana uwezo wa kununua!!!
Si ni nyingi Mlisema mnachukia umaskini!!? Mnaonyeshwa mfano wa kuichukia umaskini. Halafu mnashangaza. Mliwahi kuambiwa kuwa sisi ni donor country, mkaja juu!!!! Mnaonyeshwa kuwa we are donar kantri kiukweli Sasa!!!
Ha ha haaaa! Kama mazuri vile.
Haruhusiwi kupokea zawadi akipokea ni mali ya watanzaniaMaCHADEMA ndio unyumbu huo. Kwani hana haki kuvaa vitu vizuri?!
Akili za hovyo kabisa. Rais anapewa zawadi na watu wengi ikiwemo familia yake akatae?!
MaCHADEMA mmezoea uzinzi na wizi hamna akili. Kazurureni Barabarani
Unampangia matumizi ya mshahara wake? Wewe nani anakupangia wa kwako?Mshahara anaolipwa kwa kodi za watu masikini? Huyo sio kiongozi ni boss. Kiongozi lazima aonyeshe uchungu na aishi maisha ya wale anaowaongoza
Yaan hata kutoka kwa Mume wa Mtoto wake asipokee zawadi? Hata mumewe asimpe zawadi ndugu, jamaa na marafiki wasimpe zawadi? Wale waliomchukulia fomu wakatoa kibunda sio zawadi Ile? Yeye mboni anatoa zawadi kwanini yeye akipewa inakua nongwa?Marais wengine hawakuwa na wenza? Sheria hairuhusu mtumishi wa umma kupokea zawadi kiholela
We jamaa ni Futuhi, ndio FutuhiHaruhusiwi kupokea zawadi akipokea ni mali ya watanzania
Wewe ni Futuhi kweliSheria hairuhusu mtumishi wa umma kupokea zawadi kiholela
najaribu kufikiri kuna watu wanatembelea gari ya 30m na wanavaa saa za 7m sasa inakuwaje kwa mama anayetembelea gari ya zaidi ya mil500?Hii hapa saa ya mama yetu mama wa mfano ,
Pesa hizo ni madarasa 12 ya Shule hapa Tanzania nchi maskini ila yenye rasilimali za kutosha
Mama anaupiga mwingi
View attachment 2911999
View attachment 2911553
Afadhali uwaambie. Ninachokijua mm darasa moja ni kuanzia she 25-28, 000,000 sasa hayo madarasa kumi yatatoka wapi!Ukicopy kitu jaribu kushirikisha na akili yako kidogo.
Hiyo pesa ijenge madarasa 12 na samani zake? Ulishawahi kujenga hata banda la kuku?
Hawana hata smart phone wanatumia desktop za UWTMweh
Ngoja chawa wa Kizimkaz waje
Hawana hata smart phone wanatumia desktop za UWTMweh
Ngoja chawa wa Kizimkaz waje
Unahisi ukijua hilo itakusaidia kumaliza matatizo yako kwenye maisha yako binafsi?Wewe unaishi nchi gani? Marekani au China?