Mkuunyie ndo mnachangia uwepo wa wezi , kuwa rais sio sawa na usanii wa Zuchu , hata yeye kupokea zawadi yenye thaman ya 100M anapaswa kuhoji kwann ? apewe , ana nini cha maana kafanya kufanya mtu ampe kitu cha thaman ya 100M , NYEREEE HAKUWA MJINGA HATA KDG
Wanaojadili hivi vitu ni wapinzani au watanzania wote kwa ujumla wao.How peety isssues like these,opposition part,are we in your positive mind you discuss like things like watches? Reaal brother? You shows that you can not handle country if things lime this
aisee kwa hili bora niwe kiazi naweza faa kwa chips au kiungo cha mboga nyumbani bado mahitaji yangu yaweza kuwa makubwa.We nawe kiazi tu na umeandika ujinga. Yule ni kiongozi wa umma na public figure kwenye nchi maskini isiyo na uhakika wa kila kitu na sio mfanyabiashara wala mjasiliamali.
Jizi tuKichwa cha habari kitoshe na kieleweke
Milioni 111,000,000/= anaivaa mkononi tu?
Yaani Rais anavaa KITUO ZAIDI YA KUMOJA CHA AFYA?
JE amedunduliza kwa muda gani?
Ila uzalendo ni kitu cha bure kama ilivyo heshima yaani kweli?saa milioni 111000,000/=
Kwa hiyo unajitabanaisha kwamba wewe ni rais tajiri unayeongoza lundo la makapuku..........kumbuka ripoti ya benki ya dunia inaitaja Tanzania kama nchi isiyokuwa na uchumi jumuishi, ikitengeneza kundi kubwa la watu walionasa kwenye mnyororo wa umaskini (trapped in a cycle of poverty).Kwa sababu hata usiponunua hiyo saa ya $40,000.00 bado wataendelea kuwa mafukara, kujifungua sakafuni, maji ya shida, n.k.
Ukiwa tajiri hauhitaji kujitanabaisha, utajiri wenyewe tu utajionesha. BTW; hauhitaji kuwa fukara ili kuongoza masikini. Ufukara siyo sifa.Kwa hiyo unajitabanaisha kwamba wewe ni rais tajiri unayeongoza lundo la makapuku..........kumbuka ripoti ya benki ya dunia inaitaja Tanzania kama nchi isiyokuwa na uchumi jumuishi, ikitengeneza kundi kubwa la watu walionasa kwenye mnyororo wa umaskini (trapped in a cycle of poverty).
Kwa hiyo huoni kwamba viongozi kujipimia kwa urefu wa kamba na kujinunulia saa za milioni mia na ushee ni matumizi mabaya ya kodi za hawa maskini wanaozidi kukwama kwenye huu mnyororo wa umaskini?
Sasa huoni kama unajichanganya? Rais ni mtumishi wa umma, atueleze je aliandika saa kwenye fomu za mali za watumishi wa umma?aisee kwa hili bora niwe kiazi naweza faa kwa chips au kiungo cha mboga nyumbani bado mahitaji yangu yaweza kuwa makubwa.
acha hasira na matokeo yake unawaza kimaskini kwa kila kitu kumbuka huyu ni mke wa mfanyabiashara na rais wa nchi hiyo hela ni kitu gani kwake? unajua akienda nje analipwa kiasi gani? na inawezekana alipewa zawadi achana na nafasi ya Rais kwa vitu binafsi.
Nimegundua kwa nini mama huwa anaitizama saa mara kwa mara, jiwe mia na ushee si mchezo....Ukiwa tajiri hauhitaji kujitanabaisha, utajiri wenyewe tu utajionesha. BTW; hauhitaji kuwa fukara ili kuongoza masikini. Ufukara siyo sifa.
Tanzania sio nchi maskini Bali watanzania ndio Maskini.Hadhi ya nani? Kiongozi wa nchi masikini? Watu unaowaongoza hawana uhakika wa milo mitatu alafu unavaa saa ya milioni 100? Utakuwa hauna akili
Kwani Tsh na /= ni nini? Unajiaibisha tu, kubali umekosea.Wapi nilipoandika hela Mimi angalia tena vizuri acha kukurupukia comment za watu kijana
Mwanangu umerogwaKwani Tsh na /= ni nini? Unajiaibisha tu, kubali umekosea.
Mkuu unakabia juu, ujue...!! Hii pressing si ya mchezo!! Mabeki wataelemewa sana. Ha ha hahahaha aa!!!Sheria hairuhusu mtumishi wa umma kupokea zawadi
Endelea kukumbatia ujinga.Mwanangu umerogwa
Bado hujasema...Hii hapa saa ya mama yetu mama wa mfano ,
Pesa hizo ni madarasa 12 ya Shule hapa Tanzania nchi maskini ila yenye rasilimali za kutosha
Mama anaupiga mwingi
View attachment 2911999
View attachment 2911553