Sababu ya Harmonize na Kajala kuachana (Hii ni fundisho kwa wadada na wamama wengine pia wenye tabia kama hizi)

Loh
Mnajadili mapenzi ya mama na mwanae
 
Mkuu hivi unajua deni la taifa saivi shng ngapi!? Endeleeni kujadili ujinga nchi ishauzwa..
Hata ukijua itakusaidia nini wakati viongozi wenyewe kama Nape? Wauze tu hii nchi kwasababu hakuna faida yoyote ya kuwa Tanzania. Deni linakua kila siku lakini hakuna serikali iliyofanikisha 100%. Miaka hii Internet ni anasa, umeme wa mgao, maji ya mgao, bado serikali inahangaika na madawati, matundu ya choo, ujenzi wa madarasa, treni za mtumba. Hii ni kweli shithole country
 
Dau la Paula ni bei gani. Kama haizidi laki 5 na mimi nataka
Paula ni kama bei za bando la internet tu. Unaweza leo ukakuta 1GB unainunua kwa 2000 ila kesho ukiamka unakuta ni 3000. Unaweza kujiunga bando la 5,000 ila baada ya dakika 45 unaambiwa umetumia 75% ya bando lako wakati hapo umeperuzi tu tena umeingia JF.
Bado mama mtu anakuomba laki 2 za mafuta
 
Jamaa alihakikisha zile nyimbo alizomuimba zinarudisha hela zote za range. Dogo anaangalia fursa, anakutumia ukiisha ladha anakutema kama bublish.
 
Na ushangae Sasa deni anakuja kulipa nani. Mkapa alikopa je yupo, magufuli alikopa je yupo, Johnny Impact anakopa atalipa yeye??

Haya maisha yasikieni tu wao maposho Wana sign kila siku. Siku hizi watu wanakula pesa na maujenzi majumba ya kifahari umezidi
 
Mkuu mbona Marekani wanatupatia pesa nyingi wakati na wao wana madeni makubwa kuliko sisi ?
 
Harmonize hajasoma Ila anakula mali Safi! Tofaut na sisi na digrii zetu uchwara za uhasibu na CPA za michongo tunaishia Malonya yasiyojielewa huku halmashauri

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Harmonize ndio akome kutembea na wazazi waliomzidi kama kajala
 
Harmonize hajasoma Ila anakula mali Safi! Tofaut na sisi na digrii zetu uchwara za uhasibu na CPA za michongo tunaishia Malonya yasiyojielewa huku halmashauri
Hakuna Mali chafu wewe tema huo ugoro wako mkataa pema, nenda Qatar na CPA yako km haujaishi km upo peponi ya nyokwe

Unaishi bara la giza alafu unalialia fyoko iba, si unaona harmo kashalizwa range mbili gizani bila ganzi na hapo angezubaa alikua anamjengea Paula nyumba kuja kushtuka a/c inasoma 5 million aende tena akamlambe mondi magoti ili aanze upya, mwana mpotevu

Haya maisha kila mtu yameandikwa ndani ya script especially life za masta drama's all of them are written script, utaona as if km kuna mapenzi n this n that but behind there is a big deal they do business no love in business if you mix them up you gotta be messed up if you want business do business if you want love leave business behind n stick with what or who you love ndio maana mke wa bakhresa aonyeshwi onyeshi ovyo ovyo km tangazo la Pepsi au DStv kwenye Billboard za mikocheni na k/koo

Pinned
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…