Salamu kwa wanawake: mwanaume kumuhudumia mwanamke ni mfumo dume.

Kwa sababu ya mkuki kwa nguruwe mkuu.

Ukweli ni kwamba kiumbe yeyote anataka yeye awe ndo anadominate, ukimpa option mbadala inayoondoa utawala wake lazima atapinga.

Sasa kwa niaba ya wanaume wote, hata kama hawataki nawakilisha hivyo hivyo, napinga wazo la wanawake kutokuhitaji chochote kutoka kwetu wanaume kufikia hatua ya kutununua kwa mahitaji yao ya kingono.
 
Wewe kwa sababu una pesa unahofia pesa zako zitakosa maana kwenye huo mfumo, kwa vijana wasio na pesa hili wala hawawezi kuona kama ni jambo baya.
 
Sasa kumbe wewe ni mbahili kwa waswahili tu hao wengine unataka kulipa mwenyewe? Kwanini lakini?
 
Wewe kwa sababu una pesa unahofia pesa zako zitakosa maana kwenye huo mfumo, kwa vijana wasio na pesa hili wala hawawezi kuona kama ni jambo baya.
No, ni fiction ideas siyo kwamba ni kweli nina hiyo personality. Binafsi nina maadili mkuu.

But hata wasio na pesa kabisa, siku wakipata si wanafarijika na wanawake? Imagine Sasa hata wakipata ni mpaka wapendwe waitwe.
 
Haswaa kila mtu anafanya hivyo, hata ninyi mnapenda mfumo dume linapokuja suala la kumweka mwanamke kwenye kiganja ila majukumu yanayoambatana na huo mfumo dume mnayakimbia
Mwanaume hana shida na mfumo dume wala usawa wa kijisnia, kwa sababu kila mfumo hapo lazima awajibike na suala la provision na kulipa bill. Leo hii ukimwambia mumeo yeye awajibike na masuala makubwa ya kifamilia kama ujenzi, au uwekezaji halafu wewe utamaliza mambo mambo ya ndani kama msosi, umeme n.k hawezi kukataa. Shida ipo kwa mwanamke ambae bado anaonekana kubadilika badilika. Elimu, ajira, mamlaka ndani ya nyumba anataka usawa. Ukifika wakati wa kulipa bill usawa sa kijinsia hautaki tena
 
ChatGPT anavyozungumzia hili suala.

Sio utamaduni wa kawaida kwa wanawake wa Magharibi kuomba au kudai pesa ya matumizi binafsi kwa mwanaume wanayetoka naye kimapenzi kama inavyotokea mara kwa mara katika baadhi ya jamii za Afrika. Katika nchi za Magharibi, usawa wa kijinsia na kujitegemea kiuchumi kunafanya misingi ya uhusiano kuwa tofauti.

Mtazamo wa Pesa na Gharama katika Jamii za Magharibi Kujitegemea Kiuchumi: Wanawake wengi wa Magharibi wanalipwa mishahara yao na wanahesabu ni aibu au ishara ya udhaifu kuomba fedha za matumizi madogo madogo (kama kusuka nywele au usafiri) kwa mpenzi, hasa katika hatua za mwanzo za uhusiano.

Kugawana Bili (Dutch / Splitting Bills): Ni kawaida sana kwa wapenzi kugawana gharama za chakula au matembezi wanapokwenda 'date', au mwanamume kulipia mara ya kwanza halafu mwanamke akalipia inayofuata.

Heshima na Mipaka:
Kuomba pesa mara kwa mara kwa mtu ambaye hamjaoana au hamna familia naye huchukuliwa na jamii nyingi za Magharibi kama tabia isiyofaa au ishara ya kumtumia mtu (Gold-digging).

Tofauti na Tamaduni za Afrika.

Jukumu la Mwanaume (Provider):
Katika sehemu nyingi za Afrika, jamii na mila hutazamia mwanaume kuwa mtoaji mkuu na msaada kwa mwanamke hata kabla ya ndoa.

Jaribio la Uaminifu na Ukunjufu: Kuna dhana kwa baadhi ya wanawake wa Kiafrika kuomba pesa kama njia ya kuona kama mwanaume ana upendo, uwezo, au nia ya dhati ya kumtunza.
 
Class za wanaume wanaodate nao ni tofauti. Kutokana na hypergam nature ya mwanamke anataka mwanaume wa daraja la juu zaidi yake.

Hata huyo mwanamke mwenye hela ikatokea akapendana na mwanaume asiekua na hela hawezi kumpiga hiyo mizinga mikubwa
 
Reactions: Tsh
Sasa imagine mwanaume umbile ni mvuringo. Yaani Kichwa kimeungana na mabega halafu vyote vimeungana na kitambi then vikabebwa na miguu membamba.

Ikitokea kila mtu hataki pesa zako Utapatwa na nini zaidi ya upwiru mpaka upate bipolar?
Kuna wanawake hawana muonekano mzuri nao watalazimika kujipooza kwa hao hao.
 
Reactions: Tsh
Mkuu, kuna order nadhani zipo makusudi kabisa kuhakikisha balance inaendelea kuwepo.
Balance gani mkuu?
Ni kwa sababu haya ndio maisha unayoyajua na uliyoyaona so far ndio maana unafikiri ni permanent order, inawezekana yakaja maisha ya mfumo mwingine kabisa na order ikaendelea kuwepo tu.
 
Mkuu, kuna order nadhani zipo makusudi kabisa kuhakikisha balance inaendelea kuwepo.
Tumesimika mambo mengi sana ambayo yapo kinyume na hizo order mfano usawa wa kijinsia, demokrasia, femimism n.k kwahiyo inahitajika ku-adapt. Ukienda vilevile natural order inataka dunia ya leo utajua ujui.
 
Ni kweli Mimi naungana na mtoa mada , haki sawa ni pamoja nahuduma, kwanini kwenye vingine iwe haki sawa LAKINI kwenye matunzo iwe kazi ya mwanaume
 
Atakataaje wakati unampunguzia mzigo?
 
Tumesimika mambo mengi sana ambayo yapo kinyume na hizo order mfano usawa wa kijinsia, demokrasia, femimism n.k kwahiyo inahitajika ku-adapt. Ukienda vilevile natural order inataka dunia ya leo utajua ujui.
Hapo katikati nadhani kuna kirusi killingia duniani tukakosea na sasa tunalipia na kurudi turekebishe sio rahisi. Ilitakiwa tupiganie gender equity sio gender equality.

Equality is about sameness, equity is about justice and recognizing different needs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…