King Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2023
- 2,374
- 3,311
Njooni siku yeyote serikali tumejipanga!RISASI HUJIBIWA KWA RISASI
Nakuhakikishia sisi pia tuko vizuri hat wewe huna uhakika wabaki salama .
Uhakik wa wewe kufa au kusalimika ni 50/50
tukutane tarehe 09.12.2025
TANZANIA WILL ALWAYS BE A PEACEFUL COUNTRY. WELL SAID MADAM PRESIDENT. #tanzania #siasaHii statement siyo nzuri kwa kipindi hiki inaweza kum cost.
Kwamba waje 9 Disema au 25 Disemba au siku yeyote tumejipanga. Who are You.
Ameyasema haya leo akinukuu clips za Mange Kimambi za mitandaoni.
Kwani hujui kuwa ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama?Hii statement siyo nzuri kwa kipindi hiki inaweza kum cost.
Kwamba waje 9 Disema au 25 Disemba au siku yeyote tumejipanga. Who are You.
Ameyasema haya leo akinukuu clips za Mange Kimambi za mitandaoni.
Karibu sana naona kwa Baba ni bora zaidi!!...anapostahili akiwa hai ni ICC
Sawa utatuletea majibu baada ya kudunguliwa ukiwa na panga lako mkononi. Na bahati mbaya utaitwa gaidi na hao hao unaowatetea.try again.
hatutetei zaidi ya kulinda mali zetu mtatuzoea mali mlizochukua zina tosha..iwe nyie au yeyote atakae anzisha maandamano ya wizi tunaanza naye hata akiwa mtumishi wa serikali.Sawa utatuletea majibu baada ya kudunguliwa ukiwa na panga lako mkononi. Na bahati mbaya utaitwa gaidi na hao hao unaowatetea.
Angalau leo umenena yalo mema😁😁😁Wajuba ujumbe ndio huo, kama hamtaki kufa kindezi D9 nendeni kwenye mishe zenu, msiende kuandamana mtaangamizwa, majeshi yamejipanga!
Sawa mkuu naona hujakutana na hasira za Gen Z au ulidhani hadi polisi kubadili nguo na kukimbia walipenda? We jichanganye tu na wananchi wenye hasira kali utagundua mali zako si chochote sio lolote kuliko uhai wako.hatutetei zaidi ya kulinda mali zetu mtatuzoea mali mlizochukua zina tosha..iwe nyie au yeyote atakae anzisha maandamano ya wizi tunaanza naye hata akiwa mtumishi wa serikali.
Kwa hiyo Samia Suluhu Hassan anajibishana na Bi Mange Kimambi?Hii statement siyo nzuri kwa kipindi hiki inaweza kum cost.
Kwamba waje 9 Disema au 25 Disemba au siku yeyote tumejipanga. Who are You.
Ameyasema haya leo akinukuu clips za Mange Kimambi za mitandaoni.
TUKUTANE TAREHE 09.12.2025Njooni siku yeyote serikali tumejipanga!
Kwa sasa hata ukiangalia hayo maandamano yataanzia wapi, sio kama D29 sababu hawakutilia maanani kama kweli watui watakusanyika na kuanza kuandamana, maana maeneo yote ya kimara na mbezi kumetanda polisi na wajeshi, sijui wataanzia wapi kujikusanya?Wajuba ujumbe ndio huo, kama hamtaki kufa kindezi D9 nendeni kwenye mishe zenu, msiende kuandamana mtaangamizwa, majeshi yamejipanga!
Hashauriki yule.Samia wamshauri aache kuhutubia mpaka hizo hasira zake zitulie.Huwezi kuwa Rais unahamaki vile, kuhamaki ni dalili ya guilty,mtu safi huwa na amani.
Rais unahamaki vile..sasa na hao mawaziri watajifunza nini?Kimtokacho mtu ndichp kilicho ndani yake; ndani mwake ana hasira sana:
1.Za kuona hakubaliki
2.Anahisi anaonewa na TEC etc.
3.Anahisi kudharaulika.
Kingine inaonekana anaingia sana mitandaoni - AACHE kama hana roho ngumu kama Mzee wa Msoga.....la sivyo atakuwa anaandaa press kutukanana na watu wa mtandaoni.
Kazi anayo, asipochanganyikiwa,atachizi kabisa, sio kwa kuhamaki kule
Vipi ICC iliundwa na Baba yako? Mpeleke basi tumechoka na ngonjeraIm cost mara ngapi?
Anawakebehi walioufiwa? Anajitamba kuuwa watu, anatisha watu kuwa atawaua na kuwamaliza.
Huyu mahali pekee anapostahili akiwa hai ni ICC na kama hayupo hai ni kaburini.