Q Quinine Platinum Member Joined Jul 26, 2010 Posts 25,848 Reaction score 63,306 Dec 5, 2025 Thread starter #81 startergear said: Vipi ICC iliundwa na Baba yako? Mpeleke basi tumechoka na ngonjera Click to expand... Hasira za nini punguza mnkari mambo bado yanachemshwa.
startergear said: Vipi ICC iliundwa na Baba yako? Mpeleke basi tumechoka na ngonjera Click to expand... Hasira za nini punguza mnkari mambo bado yanachemshwa.
startergear JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 1,756 Reaction score 1,955 Dec 5, 2025 #82 Quinine said: Hasira za nini punguza mnkari mambo bado yanachemshwa. Click to expand... Unachemsha wewe au unachemshia JF na fake ID? Nachojua Mimi walioandaa episode hawaamini kilichotokea maana mpaka Leo bado Rais ni Samia.
Quinine said: Hasira za nini punguza mnkari mambo bado yanachemshwa. Click to expand... Unachemsha wewe au unachemshia JF na fake ID? Nachojua Mimi walioandaa episode hawaamini kilichotokea maana mpaka Leo bado Rais ni Samia.
Q Quinine Platinum Member Joined Jul 26, 2010 Posts 25,848 Reaction score 63,306 Dec 5, 2025 Thread starter #83 startergear said: Unachemsha wewe au unachemshia JF na fake ID? Nachojua Mimi walioandaa episode hawaamini kilichotokea maana mpaka Leo bado Rais ni Samia. Click to expand... Unaitwa huku tuliwaambia hii ngoma sio ya kitoto wamekuwa wadogo kama pritoni hakuna cha nywinywi wala nyenye. Thread 'Serikali ya Tanzania yajibu matamko EU, Marekani na mashirika ya kimataifa' PostGE2025 - Serikali ya Tanzania yajibu matamko EU, Marekani na mashirika ya kimataifa
startergear said: Unachemsha wewe au unachemshia JF na fake ID? Nachojua Mimi walioandaa episode hawaamini kilichotokea maana mpaka Leo bado Rais ni Samia. Click to expand... Unaitwa huku tuliwaambia hii ngoma sio ya kitoto wamekuwa wadogo kama pritoni hakuna cha nywinywi wala nyenye. Thread 'Serikali ya Tanzania yajibu matamko EU, Marekani na mashirika ya kimataifa' PostGE2025 - Serikali ya Tanzania yajibu matamko EU, Marekani na mashirika ya kimataifa
Lord Denning JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 23,491 Reaction score 57,973 Dec 5, 2025 #84 startergear said: Vipi ICC iliundwa na Baba yako? Mpeleke basi tumechoka na ngonjera Click to expand... Tulia. Utamkataa muda si mrefu. Arrest Warrant inasukwa vizuri sana
startergear said: Vipi ICC iliundwa na Baba yako? Mpeleke basi tumechoka na ngonjera Click to expand... Tulia. Utamkataa muda si mrefu. Arrest Warrant inasukwa vizuri sana
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,316 Reaction score 871,876 Dec 5, 2025 #85 https://www.facebook.com/ View: https://www.facebook.com/share/v/17h4VAwS36/
BLACKTIGER JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 5,197 Reaction score 8,667 Dec 5, 2025 #86 Kimbesa11 said: Mshaambiwa jaribuni muone moto, tuilinde amani yetu Click to expand... Ngoja suprise! tutawapokea wageni jinsi watakavyokuja 9dec tukutane road. MBEYA!
Kimbesa11 said: Mshaambiwa jaribuni muone moto, tuilinde amani yetu Click to expand... Ngoja suprise! tutawapokea wageni jinsi watakavyokuja 9dec tukutane road. MBEYA!