Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Msijisahaulishe mwenzio kasifia ana ngozi nyororo[emoji2]Huyu mama hapo kakosea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msijisahaulishe mwenzio kasifia ana ngozi nyororo[emoji2]Huyu mama hapo kakosea.
Wanaanza kujidhihirisha uhusika na lile tukioTumwambie tu huyu mke wa Coplo wa zimamoto kuwa wauaji waliowatuma kumuua Lissu hawakumkosa, walimpata, walimimina zaidi ya 30, na zote zililenga pale pale anapokaa Lissu kwa upande wa ndani. Hongera huyo askari kaiva kwenye shabaha.
Mliwatuma wakatekeleza maelekezo.
Ila hata siku moja shetani hajawahi kumzidi Mungu!
Nilikuwa nakuona ww mama mstaarab umekaa kimya haufungamani na hao wenzako, kumbe ulikuwa umeficha makucha, Lissu mliyomtwanga marisasi ya kutosha Mungu akasema no, huyu mtu ni mpango wangu, ni lazima aishi! Mna roho mbaya sana ninyi watu, sijui mwanamke gan ww, hukuzaa??
Bashe aliwaumbua CCM kweupe. LolHuyu Mama tulitegemea angesema yaliyopita si ndwele
Inamaana huyu Mb ni muongo
Amechokoza mzinga wa nyuki huyo mama .Mama amekosa heshima huyu. Sasa asubiri majibu ya Genius wetu. Lissu usiliachie hili likapita, lazma huyu bibi awekwe sawa jukwaani mbele ya macamera na Watanzania nzima.
Halafu mama nae anavi-issues vyake watu wanakaa kimya tu. Sasa ni muda muafaka kuviweka hadharani.
Alisifiwa na ngozi nyororo she makes the best VPHuyu tangu asifiwe uzuri na yeye anajiona Bi mdogo wa Magufuli.
KumekuchaaaaaahKwa hisan ya kigogoView attachment 1559435
Askari mwenye mafunzo ni risasi ngapi labdaLakini mama kasema kweli risasi 16 kwa ashari mwenye mafunzo ni ngumu aisee...
Huyu wa Elimu najua kuna kijana ni lecturer wa MUHAS anatoka nae, yaan afu sikuamini hata lol. mambo yao hovyooh.Nikm alivo huyu wa Elimu..
Anapenda dogodogo mbaya.
Maza anapigwaa rungu na serengeti boyizi.
Heehhe leo ni leoooo🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸nimeikwoti mapeemaaa ..hata ukifuta ...Mie najua huyu mama n lesboooh
Kaongea ukweli mtupu, 16 bullets na mtu hajafa, lazima zipigwe na an inexperienced shooter, serikali isingeweza kuweka maboya namna iyo, hutaki, pita hivi.Ukikaa na shetani na wewe utakuwa shetani
Hakuna aliemsafi ndani ya CCM
Mungu kamlinda masiha wakeKaongea ukweli mtupu, 16 bullets na mtu hajafa, lazima zipigwe na an inexperienced shooter, serikali isingeweza kuweka maboya namna iyo, hutaki, pita hivi.
Ha ha ha
Hata Mimi sijaamini kama huyo mama katamka maneno ya hovyoPlease Mama Samia tulikuona upo neutral una roho ya kimama ya huruma! Maneno hayo yanatoka kweli kinywani mwako????
Haya maneno hata hayawani hawezi yaongeaLakini mama kasema kweli risasi 16 kwa ashari mwenye mafunzo ni ngumu aisee...
Umemsahau marehemu CHACHA WANGWE aliutaka uenyekiti wakamkolimba.Hapo kasema ukweli mtupu Maana yeye ndo miongoni mwa maboss wa Askari wao wa CCM hivyo anawajua vizuri weredi wao. Kwahiyo Mimi naamini alichokisema na ndo uhalisia.
Zitto aliutaka uenyekit wa chadema akafukuzwa Chama.
Ben sanane aliutaka uenyekit wa Chama akapotea mpaka leo.
Tundu lissu aliutaka uenyekiti wa Chama akapigwa na vitu vinavyosadikika ni risasi.
F. SUMAYE aliutaka uenyekiti wa Chama akaambiwa kuwa Sumu haionjwi kwa usalama wa maisha yake akaamua kujiweka pembeni na kuchomoka kwenye himaya za mtia Sumu.
Swali; kwanini Kila anaeutaka uenyekiti wa Chama CDM anapatwa na matatizo Ni ipi Siri iliyopo Hapo nyuma?
Je nikweli Mbowe Ni kibaraka wa serikali kwamba hawezi kutoka kwenye kile kiti kwa masilahi ya Taifa?
Hawezi rudi....I can bet my wife's passoHao wadeni wake baadae wakaenda kun'goa CCTV
Lakini kabla ya shambulizi hao jamaa ambao walichukuliwa wake zao walihakikisha walinzi wote hapo Area D wanaondolewa amaa kweli hao watu wananguvu serikalini
Sio ajabu mbona, ana mengi tyuuuh sema alisitiriwa kutokana na ustaarabu wake, na hii je?Heehhe leo ni leoooo[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]nimeikwoti mapeemaaa ..hata ukifuta ...
Ahsante mkuu kwa kunikumbusha na kujalizia nyama bandiko langu.Umemsahau marehemu CHACHA WANGWE aliutaka uenyekiti wakamkolimba.