Uchaguzi 2020 Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika

Nani amekwambia hawachunguzi kwani jarada limefungwa? Mrudisheni dereva aje ayatambue magari yale yaliyokamatwa. Uchunguzi unaanza na maelezo ya watu wazima muhimu waliokuwepo eneo la tukio. Hata ao wachunguzi wa nje wataanza na hao.
Jarada - jalada
 
Sasa itajulikanaje kama baada ya jamaa kuwa mzima hao walioshindwa kumuua hamkuwachukulia hatua?pia hivi kinacho ua ni MTU au risasi?maana kama risasi zilimpata na amekuwa mzima hamuoni kuwa ni mkono waMungu?Acheni kujifau jambo hili lingekupata wewe mama sijui ingekuwaje
 
Na yeye ni mhuni kama wanaccm wengine tu bunge la katiba walivuruga na mzee Sita
 
Mkuu nafikiri umesahau kujiuliza maswali ya aliyewatoa walinzi wote wa kwenye nyumba za viongozi.
Pili hebu jiulize hata aliyetoa CCTV cameras.
Tatu jiulize kwanini interejensia ya polisi haikupata taarifa kama wanavyopatataga taarifa kwenye vikao au mikutano ya ndani ya chadema?
 
Huyo mama ni mafia toka zamani huwa nashangaa watu wanaompamba humu.

Yeye na mzee Sita walishiriki kuvuruga mchakato wa katiba mpya ndiyo maana akazawaidiwa umakamu wa rais


Hii binafsi nakumbuka aiseee hafai
 
Huyu mama namtaka ndani ya masaa 24 aombe radhi umma kwa kumtusi mkombozi wa wanyonge kwa kejeli, la si hivyo tutamvua heshima yake aliyojijengea kwa miaka mingi.
 
tutawa jua wengi sana
 
Keshalipata, kigogo Keshafungua file lake huko twitter πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Daaah!! Ila kigogo 2014 mwanaharamu yule jamaa. Kujua teknolojia kunafanya awanyanyase sana Lumumba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Duh! Kasemaje? Imenipita!πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…