Sasa hivi viongozi WOTE wa juu ni waislamu, Zanzibar iingie OIC- by mzanzibari mkorofi.

Sasa hivi viongozi WOTE wa juu ni waislamu, Zanzibar iingie OIC- by mzanzibari mkorofi.

Wavaa kobazi wakishiba urojo wanataabu sana
Cha muhimu ni CDF kuimarisha na kuongezea Vifaru na Kambi za vijana pale Visiwani, ili siku wakilianzisha wapate kichapo kama kile cha 2000 ambacho kiliwafanye wakimbilie baharini bila hata kujua kuongelea na wengine wakanyunyuziwa tokea angani wakiwa kwenye mashua wakikimbilia kwa wavaa makubazi wenzao wa Mombosa. Credits to Benjamini (RIP).
 
Watu kama hawa wanasababisha waislamu waonekane wapumbavu
Anachosahau ni kuwa hiyo 'sasa hivi' haidumu, muda haumsubiri mtu. Nigeria walidanganyika na hiyo sasa hivi na siku hizi wanaishia kusikitika namna uamuzi wa kuingia kwao OIC ulivyowavuruga kama Taifa.

Hawana tena umoja wa kitaifa.
 
Watu wa bara licha ya kuwa ya tunazo dini, ila kunautofauti mkubwa sana na watu wa Zanzibar

Mwislamu wa bara ameelimika zaidi ya mwislamu wa Zanzibar

Hii ni nini maana yake
Muislam wa Zanzibar anajiona yupo huru zaidi akidanganywa na serikali ya Mapinduzi. Wa huku bara kazungukwa na wakristo na anawaheshimu siku zote.
 
View attachment 3113007
Nimeona clip ya mzanzibari aliyechoka kimawazo akitaka Zanzibar sasa iwe nchi ya kiilamu rasmi na iingie OIC, Nchi za umoja wa Kiilamu.

Jamaa huyu anasema Rais Samia muislamu, Rais Mwinyi mwislamu waziri mambo ya ndani mzanzibari mwislamu, waziri wa mambo ya nje mwislama.
Jamaa anasema tupige hapo kabla hajaingia rais mkristo.

Imenishangaza kwa kweli.
Dah..!!!
CC FaizaFoxy
 
Na huo ndiyo ukweli ulio kwa wazanzibar,hawa jamaa awe Upinzani au chama tawala,wanauzalendo sana na mkoa wao..... tofauti na huku bara tunapuuzia puuzia,ila hawa jamaa wako serious sana na ardhi yao.

Alichokisema huyu dingi ndiyo hisia halisi za wazanzibar wote
 
View attachment 3113007
Nimeona clip ya mzanzibari aliyechoka kimawazo akitaka Zanzibar sasa iwe nchi ya kiilamu rasmi na iingie OIC, Nchi za umoja wa Kiilamu.

Jamaa huyu anasema Rais Samia muislamu, Rais Mwinyi mwislamu waziri mambo ya ndani mzanzibari mwislamu, waziri wa mambo ya nje mwislama.
Jamaa anasema tupige hapo kabla hajaingia rais mkristo.

Imenishangaza kwa kweli.
Waziri Mkuu
 
Ningemuona ana akili kama angeleta hoja ya Zanzibar huru kipindi hiki Rais wa JMT akiwa Mzanzibari kwani ingekuwa hatua nzuri ya kwenda huko wanapotaka.
 
Mbona hayo yanasemwa kila siku makanisani na yanaendelezwa kivitendo kabisa japo kuwa huwezi kuona videos zake zikienda viral kama ya huyo maalim hapo.
 
Naunga mkono hoja. Wakishindwa sasa hivi wasije kulia lia huko mbeleni sijui mfumo Kristo, sijui Rais kafiri anatukandamiza. Mnaye wa kwenu, mshindwe wenyewe tuuu...na mkishindwa msije kutupigia kelele huo mbeleni.
 
View attachment 3113007
Nimeona clip ya mzanzibari aliyechoka kimawazo akitaka Zanzibar sasa iwe nchi ya kiilamu rasmi na iingie OIC, Nchi za umoja wa Kiilamu.

Jamaa huyu anasema Rais Samia muislamu, Rais Mwinyi mwislamu waziri mambo ya ndani mzanzibari mwislamu, waziri wa mambo ya nje mwislama.
Jamaa anasema tupige hapo kabla hajaingia rais mkristo.

Imenishangaza kwa kweli.
Ni haki yake kutoa maoni kwa mujibu wa katiba
 
Back
Top Bottom