Ustaadhi 22
JF-Expert Member
- Sep 5, 2021
- 996
- 1,907
Tena saaana.mimi Nimewaona Hapa Zanzibar,,, Ni wadini Hawa Ndugu Si m hezoDah hawa jamaa wana udini sana asee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena saaana.mimi Nimewaona Hapa Zanzibar,,, Ni wadini Hawa Ndugu Si m hezoDah hawa jamaa wana udini sana asee
Cha muhimu ni CDF kuimarisha na kuongezea Vifaru na Kambi za vijana pale Visiwani, ili siku wakilianzisha wapate kichapo kama kile cha 2000 ambacho kiliwafanye wakimbilie baharini bila hata kujua kuongelea na wengine wakanyunyuziwa tokea angani wakiwa kwenye mashua wakikimbilia kwa wavaa makubazi wenzao wa Mombosa. Credits to Benjamini (RIP).Wavaa kobazi wakishiba urojo wanataabu sana
Anachosahau ni kuwa hiyo 'sasa hivi' haidumu, muda haumsubiri mtu. Nigeria walidanganyika na hiyo sasa hivi na siku hizi wanaishia kusikitika namna uamuzi wa kuingia kwao OIC ulivyowavuruga kama Taifa.Watu kama hawa wanasababisha waislamu waonekane wapumbavu
Muislam wa Zanzibar anajiona yupo huru zaidi akidanganywa na serikali ya Mapinduzi. Wa huku bara kazungukwa na wakristo na anawaheshimu siku zote.Watu wa bara licha ya kuwa ya tunazo dini, ila kunautofauti mkubwa sana na watu wa Zanzibar
Mwislamu wa bara ameelimika zaidi ya mwislamu wa Zanzibar
Hii ni nini maana yake
Dah..!!!View attachment 3113007
Nimeona clip ya mzanzibari aliyechoka kimawazo akitaka Zanzibar sasa iwe nchi ya kiilamu rasmi na iingie OIC, Nchi za umoja wa Kiilamu.
Jamaa huyu anasema Rais Samia muislamu, Rais Mwinyi mwislamu waziri mambo ya ndani mzanzibari mwislamu, waziri wa mambo ya nje mwislama.
Jamaa anasema tupige hapo kabla hajaingia rais mkristo.
Imenishangaza kwa kweli.
HAO SI NI MAKAMANDA WA CHADEMA HAO,AU NIMEKOSEA??Watu kama hawa wanasababisha waislamu waonekane wapumbavu
Waziri MkuuView attachment 3113007
Nimeona clip ya mzanzibari aliyechoka kimawazo akitaka Zanzibar sasa iwe nchi ya kiilamu rasmi na iingie OIC, Nchi za umoja wa Kiilamu.
Jamaa huyu anasema Rais Samia muislamu, Rais Mwinyi mwislamu waziri mambo ya ndani mzanzibari mwislamu, waziri wa mambo ya nje mwislama.
Jamaa anasema tupige hapo kabla hajaingia rais mkristo.
Imenishangaza kwa kweli.
Kumbe?Watu kama hawa wanasababisha waislamu waonekane wapumbavu
Hapo yuko kwenye dini ya mnyaazi Mungu, nduguyo huyo usimkatae.HAO SI NI MAKAMANDA WA CHADEMA HAO,AU NIMEKOSEA??
Am proud to be a MuslimNgoja waje proud to be…….
Ni haki yake kutoa maoni kwa mujibu wa katibaView attachment 3113007