Ahahaha hahahahaha🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂yangu nikiwa nasound demu wanaichukulia mtu fulani hivi innocent na mwaminifu kumbe bongeeee la ng'auu hatari ole wake akichanganya ndo atajuta kujifananisha na sauti yanguKwa mujibu ya waliosikia sauti yangu kabla ya kuniona walinitafsiri kama brotherman fulani naye vimba alafu nimejipata kumbe ni mshikaji tu wa geto anayepambania maisha yake.
Bado yako mama wa makavu live..😃😃Nimesikia aseee uzi mzuri huu 😂😂
Bado yako mama wa makavu live..😃😃
Learn how to have fun sometimes, itakupunguzia stress na magonjwa nyemeleziAndaa PM hiyo wanyama waingie kazini.
Uzi wa Harakati huu.
Mtego umekubali.
Kwa hiyo una sauti nzito yenye base, 🙄Sauti yangu bana utafikiri ndo nimeamka ila naipenda tu🤣
Andika kiswahili ueleweke Tajiri.Learn how to have fun sometimes, itakupunguzia stress na magonjwa nyemelezi
Na wababa tunatuma sauti? Mubaba JoanahEndeleni kutuma voice
Ni kwenda nao kwa tahadharii Sanaa Sanaa.Sasa kaka me ndo nna kibunda, mchana tuu we ndo umenipa ten nikala bruh 😂
Abeeh Dada
Waendelee kuwa watulivu 😂Broh Evelyn Salt nimewaambia wawe wapole wakati unaandaa aina ya sauti
Hamtoboiii
Hahaha tahadhari muhimu mzee wanguNi kwenda nao kwa tahadharii Sanaa Sanaa.
Uzi ufungwe una sauti nzuriiiiiEndeleni kutuma voice
Naam, tunataka hasa tuwasikie mababa wa JF 😆Na wababa tunatuma sauti? Mubaba Joanah
Na wababa tunatuma sauti? Mubaba Joanah