Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Naandaa pilau la nazi kaa mkao wa kulaAnaenukia vitunguu.....bro haupiki kabisa siku hizi, umeoa nini???
Ndiyo kk mpunga wanguUna nidai? π
Subiri ccm ishinde kwanzaNdiyo kk mpunga wangu
Mbona handwriting ya kikurya hii π€£π€£π€£Ripiti again π nimetoka kapa
Sihitaji hayo mmSubiri ccm ishinde kwanza
Enhee, sema !
Ndo maana ake, πππHaswaaah uduguu..!! πΉπΉ
Una yako wewe π€£ππ»Taratibu, Romantic, ki ukweli sijasikia hata uliyoongea kwenye hyo soundclip nilikuwa nasikia sauti tu ππ
Harmful
Unaibadilisha kidogo, kuna mtu humu aliambiwa atume hata mihayo π mimi nakwambia tuma hata chafyaπNaogopa kuna watu tumesoma nao chuo watanijua humu π€£π€£π€£
Enzi zangu wakati nasoma diploma ya kuvuna asali nilikuwa mnoko mno, kila mtu alinijua jamani mimi πͺ
Mara paap, sauti imefika kwenye mafaili ya samia, ntaficha wapi sura yangu πππ€£
Tujiliwaze nayo πΉπΉKwa faida gaaaniii? π¬
Zaidi ya serious tunakusubiri πΆπππππ jamaniiii.
Mko serious??!
Broh!! Wee lianzishee, afu mie nimaliziee.
ππππππ
ππππ umesanukaa brooh!!Aaah naijua hiyo bro hahahahh
πΉπΉπΉ Wewe yako iko wapi?
Msinifanyiee hivyoo.Zaidi ya serious tunakusubiri πΆ
Akinichagua atainjoi.Jimbo lipo occupied tulioga mapema Sana Sanaa. Labda uwe second one ππ
Binafsi hatuchepukiii Ila Kuna ndugu zangu Hawa ma maana kabisa wenzangu wanafaa Sanaa Sanaa.
Chagua hapo chinii..
min -me
Monetary doctor
secretarybird
Huyo mariposa anavotamka jina la mubaba Evelyn Salt na cocastic simuwezi eti "kkokkkastik"π€£
Napenda sana wanawake wenye sauti nyororo mkuu.Nyoka pangoni lazima atoke au hatokiii ??
ππβΊοΈ
min -me
secretarybird
Monetary doctor
holoholo
Niogope nini sasaHuogopiiii? ππππ