Sauti nzuri sana ๐
Kijana wa lissu ๐๐๐Sauti yangu ni moya wapo hapo
View attachment 3399449
Waendelaje Binti wa Lissu ๐๐Kijana wa lissu ๐๐๐
Kwa nini Rashidi lakini? Sijapenda ๐
๐๐Mbna rashid ghafla hivo
Jirekodi kisha iweke, select attach files ๐น๐นTunaweka wapi my wii
Jaman jamn maisha yamenichanganya naongea km konda wa mbagala sikuhizi ๐๐๐
Wachawi watoke wapi ach kumtisha bnJirekodi kisha iweke, select attach files ๐น๐น
Fanya fasta kabla wachawi hawajafika sasa!!
Nifundishe kwa kutumia voice mtumishi
Asante๐Mwizi Mwizi hivi Tapeli
Haya leo tunaendelea tena saa ngapi?Jirekodi kisha iweke, select attach files ๐น๐น
Fanya fasta kabla wachawi hawajafika sasa!!
Aww๐ฅฐbado yakoSauti nzuri sana ๐
Kumbe challenge inaendelea??Haya leo tunaendelea tena saa ngapi?
Tafuta sehemu tulivu kabisa๐
Sauti yangu inareflect sana kama mtu mwenye mamlaka, always naambiwaga sana watu.Kwa mujibu ya waliosikia sauti yangu kabla ya kuniona walinitafsiri kama brotherman fulani naye vimba alafu nimejipata kumbe ni mshikaji tu wa geto anayepambania maisha yake.
Mkuyenge umesimama sana.
Embu nione sweetheartMkuyenge umesimama sana.
Hiyo sauti kwa kweli ulifaa uwe mwalimu wa nursery school.Embu nione sweetheart
Weka yako tusikie,mamy.Sauti nzuri sana ๐