[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] tena na mtandao pendwa anakupa.Miaka ya nyuma hapo Kahumba alikuwa mama wa kimasai mtu mzima kahaba, alikuwa analazimisha game kwani watu walikuwa wanamkwepa na kwenda kwa vimbinyiko.
Dah mkuu umenikumbusha mbali sana Kahumba enzi hizo nikiwa kigurunyembe secondary form four 2004 na nilikuwa naenda Kahumba dah, watoto wa Morogoro Kahumba ilituharibu sana back in daysKahumba
kwa hiyo we mbovu?Dah mkuu umenikumbusha mbali sana Kahumba enzi hizo nikiwa kigurunyembe secondary form four 2004 na nilikuwa naenda Kahumba dah, watoto wa Morogoro Kahumba ilituharibu sana back in days
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na ninaona kweli upo na hasira.Halaf nna hasira hapaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan maswekeni you know?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Samahani dada ushapata kiwanja?[emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Morogoro Jiwe Alisema Unapata Ya Dar es Salaam Na Dodoma. Kulala Katikati Kuna Uzuri Wake.
Katikati Ni Pazuri
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
[emoji38][emoji28][emoji1][emoji2][emoji23][emoji16][emoji3][emoji16][emoji23][emoji2][emoji1][emoji1][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu biashara zipi zinalipaHaina pesa kivipi mkuu? Na mimi naishi moro nafanya biashara na pesa naingiza yakutosha.... Fursa yakuwekeza morogoro ni rahisi sana wewe kufahamika tofauti na mji kama dar... Yani hapa moro ukiwa mtulivu na ukabuni biashara nzuri unatoka na mzunguko upo mkuu
Hapana mkuu, those were foolishness times, I'm grown up now with my beautiful family besides mekwa hiyo we mbovu?
Sina tena mpango wa kuhamia huko. Ila ndugu wako kibao hiyo mitaa hasa mradi wa reli hapo sindo kitaa kbs..Njoo kihonda Kilimanjaro we dada huku ukae karibu na SGR Kuna apartment zinajengwa za kushato Sana tu
Tatizo la huku maji tu yako kwa machale [emoji1]
Kuna kabaridi Fulani hivi mitaa imepangwa Safi kabisa .
Ila wasukuma wanapenda kitunguu pori jamani[emoji23][emoji23]Morogoro Jiwe Alisema Unapata Ya Dar es Salaam Na Dodoma. Kulala Katikati Kuna Uzuri Wake.
Katikati Ni Pazuri
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
[emoji38][emoji28][emoji1][emoji2][emoji23][emoji16][emoji3][emoji16][emoji23][emoji2][emoji1][emoji1][emoji28][emoji28]
Na muda ninaoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na ninaona kweli upo na hasira.
Haa π ππKuna hotel yenye TV flatscreen kweli morogoro?
Kwa mfano hapa malalamiko ya wadau wengi wa moro ni viwanja vikali hakuna... Sehemu za starehe" tayari hii ni fursa pia kuja kuwekeza kwenye upande wa buridani mkuuMkuu biashara zipi zinalipa
umenikumbusha mbali sana mkuu daahMsos classy ni Tengoz..njia ya kwenda stesheni! safi kbs chakula chao ..!yaani hata kufanya evening walk mkaenda kula hapo pako poa sana!
Au nashera wana msos classy n taste
MaChimbo mengine unakutana na walugur wamepaka wanja kama wanataka kupaa!
Pa mwisho kbs Dragonaire Njia ya kwenda bigwa everythn on point! Huku hutukuti wapaka wanja wa piko[emoji3]
Fursa za hapa mkuu ambazo mimi huwa naziona na hazihitaji mtaji mkubwa... Ukiweza fungua duka la maana la cheni hereni vibanio vya nguo na vywele vile vya chuma classic... Duka kubwa niamini utatoboa hii ni kwaajili ya wadada... Fungua duka la chupi za kike, braa, boxa OG kutoka uganda cotton utanishukuru baadae... Fungua duka uwe unauza kucha za kubandika za kike na rangi zao zile ziwe OG, Biashara kubwa migahawa ya maana ya misosi moro hakuna, club hakuna, kumbi za sherehe ni chache, upande wa chakula kuja na wazo la kibunifu mfano kuku choma upate location nzuri, iwe ni kuku choma, biriani na juice! Fursa nyingine kitimoto hakuna sehemu classic yakula pork moro sehemu za hovyo hovyo kuja na wazo zuri sehemu safi classic kuna parking yakutosha hutojutia mzee kitimoto zote ziwepo choma,Rost,kavu.... Mimi kwa time nimeishi hapa hizi ni fursa naziona na mtu akija kufanya atatoboa naishi moro mwaka wa5 huu ila ni sehemu naiyona kwa uwekezaji na fursa nyingi mzee... Changamka na wewe kujulikana na biashara ni chap tu wadau tupoMkuu biashara zipi zinalipa