All good ideas. Lakini angalia biashara zitazokufa. Watu wengi kupoteza ajira. Uchumi kushuka sana.
Ziko hapa, kwako, wewe ni mzima unaweza kupost JF."Binadamu ana uwezo wa ku-adapt and survive?"
Takwimu za kuonyesha uelekeo huo waja ziko wapi?
Kwa nini jitihada kubwa mno ya kuhalalisha kutokuchukua hatua yoyote dhidi ya ugonjwa huu ni option bora zaidi kwa mijamaa ya chama fulani?
How do you expect any prosperity, progress where all people are dead. Maskini wa kutupwa. Kisa wamefungiwa kufanya biashara halali.
Bak kuna vitu Magufuli amezifanya, kama tuko fair tumpe credit. Amekosea sehemu fulani.Uchumi tayari ulikuwa umeshashuka miaka mingi tu. Kulinda afya na uhai wa raia kwa kuwaambia ukweli ili wajilinde na kuepuka misongamano ni muhimu sana kuliko kusema uongo eti unalinda uchumi, uchumi ambao tayari ulishatetereka hata kabla ya COVID-19 ndiyo sababu wafanyakazi, wakulima, wafanyabiashara wote wanalia kuhusu uchumi mbovu uliosababishwa na sera za KUKURUPUKA kuingia gharama kubwa za mambo yasiyo na kipaumbele kwa Watanzania.
Ziko hapa, kwako, ni mzima unaweza kupost JF.
Nafikiri ni muhimu wote tuchukue tahadhari.
Bak kuna vitu Magufuli amezifanya, kama tuko fair tumpe credit. Amekosea sehemu fulani.
Amewasaidia wakulima, kuimairsha nidhamu serikalini, kuwasaidia maskini, kukusanya mapato.
Brazaj taratibu!
Labda unashindwa kutofautisha Kati ya Tanzania na Zimbabwe kuwa Ni nchi mbili tofauti.
KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE.
kwa anavyojua mwenyewe
MABEBERU wanatuonea wivu na uchumi wetu na wanawatumia wapinzani.
HAKUNA CORONa ILA tu ugonjwa wa NEMONIA UPO.
Nahisi maombi yame expire.
Kulihitajika elimu au takwimu?Inahitajika elimu.
Sio kila anayewekewa ventilator basi ANAUMWA CORONA..
Kwani kabla ya Corona hakukuwa na matumizi ya ventilator?.²
Pamekuwapo na angalizo pia, "Tanzania si makao mkuu ya Mungu."
Mwenye masikio na asikie.
Kulihitajika elimu au takwimu?
Elimu ipi unayoitaka wewe?
Sio kila anayekufa kwa kushindwa kupumua basi kafa na Corona.
Kama NI hivyo wale wote waliopo ICU na emergency ROOM WOTE WANA CORONA .
Maana wanashindwa kupumua ndo maana wanawekewa ventilator
Pia mungu anasema "NIOMBENI NITAWAJIBU".
CHAGUO NI LAKO
Si unajua pia kuwa si kila mtu anayekufa kwa kushindwa kupumua kuwa hajafa kwa Corona?
Mwarobaini kwenye hilo si ilikuwa takwimu sahihi za nani kafa na nini?
Kwanini nguvu kubwa kuhakikisha takwimu kuhusiana na corona pekee hazipo? Yote hii haikufikirishi?