Serikali kuwapa watu case za uhaini bado sijibu la Maswali ya DP World! Kuna maswali lazima uyajibu wewe! Usijifiche

i mkataba wa DP world ambao ni mmoja ya mkataba mbovu kabisa kuwai kutokea
Sii kweli, kuna mikataba mibovu mara 100 zaidi ya huu ila hatuijui kwasababu haiko wazi!
watu wengi wamekuwa wakijiuliza ni kweli Samia amesaini yeye mwenyewe mkataba wa aina hii?
Watu hao watakuwa ni wajinga, mkataba umewekwa humu na saini za waliosaini zipo!, umeona saini ya Rais Samia?.
Bahati mbaya au nzuri kila akipata nafasi amekuwa akikwepa kuzungumzia mkataba huu amabao kwa sahihi zinaonesha ni yeye aliyesaini
Duh...!. Kumbe na wewe uko kwenye kundi hili la hao wajinga?!. Umeona sahihi ya Rais Samia kwenye hiyo IGA?.
P
 
Kifungu kwa kifungu
 
Usihangaike na waliooza akili na vichwa vyao
 
Kwani mahakama ndio iliweka saini kwenye ule mkataba wa hovyo?

Haiwezekani ujinga ufanye wewe, halafu marekebisho ukafanyiwe na mwingine, kumbe wewe ni zezeta?

Say Yes!.
Watu wamekwenda mahakamani kuulizia uhalali wa huo mkataba majibu yametoka au vipi
 
Mbona kila siku munaulizia kuhusu bandari za zanzibar kila mukipewa majibu munarudi tena kuliza nyie vipi Bandari sio suala la muungano muambiwe mara ngapi?
 
we kenge hujaona hukumu ya mahakama? Mahakama imeshaamua we ni nani unakuja tena na huu upuuzi? Mahakama kuu iseme mkataba uko sahihi, we useme hakuna mkataba mbovu km huu? we mbwa kweli, we hangaika na mambo yako tunachosubiri ni utekelezaji, kazi inaendelea. Unakuja kubwabwaja huku na maujinga yako, mwandikie mamako haya maupuuzi.
 
kwani izo mahakama ni za akina nani?huo mfumo wa mahakama unadhitibiwa na nani?wewe unazani wangempinga boss wao?
sasa nenda kashtaki kwa mamako, kwanza mwulize kwanini we ni mpumbavu kiasi hicho? Unamwamini nani hapa duniani km hata mahakama huiamni?
 
TLS wamehongwa kiwanja na wao wamekubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…