Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Kashindwa kujibu nini?Hoja kashindwa kujibu kaamua kutumia nguvu, HOVYO 😏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kashindwa kujibu nini?Hoja kashindwa kujibu kaamua kutumia nguvu, HOVYO 😏
Sii kweli, kuna mikataba mibovu mara 100 zaidi ya huu ila hatuijui kwasababu haiko wazi!i mkataba wa DP world ambao ni mmoja ya mkataba mbovu kabisa kuwai kutokea
Watu hao watakuwa ni wajinga, mkataba umewekwa humu na saini za waliosaini zipo!, umeona saini ya Rais Samia?.watu wengi wamekuwa wakijiuliza ni kweli Samia amesaini yeye mwenyewe mkataba wa aina hii?
Duh...!. Kumbe na wewe uko kwenye kundi hili la hao wajinga?!. Umeona sahihi ya Rais Samia kwenye hiyo IGA?.Bahati mbaya au nzuri kila akipata nafasi amekuwa akikwepa kuzungumzia mkataba huu amabao kwa sahihi zinaonesha ni yeye aliyesaini
Kifungu kwa kifunguToka limetokea sakata la kusaini mkataba wa DP world ambao wengi wameukosoa na kuonesha ni mmoja ya mkataba mbovu kabisa kuwai kutokea bado watu wengi wamekuwa wakijiuliza ni kweli Samia amesaini yeye mwenyewe mkataba wa aina hii?
Bahati mbaya au nzuri kila akipata nafasi amekuwa akikwepa kuzungumzia mkataba huu amabao kwa sahihi zinaonesha ni yeye aliyesaini lakini badala yake amekuwa akijificha kwenye ujenzi wa darasa,wafiwa watibiwe bure, mechi za Yanga na Simba!
Rais Samia anatakiwa kujua itafika kipindi atafunua mdomo wake kueleza na kujibu hoja zote maana kila anayemtuma anaeleza la kwake!
Rais Samia amekosa majibu sasa ameona awape shitaka la uhaini wanaopinga mkataba ule na masharti yake……
Rais Samia anatakiwa kujua shitaka la uhaini halitokuwa majibu ya mkataba mbovu wa Tanzania na DPW!
Shitaka la uhaini halitompa amani ya kutawala bali majibu juu ya Mkataba wa DPW ndio yatampa amani!
Shitaka la uhaini halitokufanya upendwe bali litakufanya uchukiwe na kuogopwa na wanaccm na wasio wana CCM!
Bado majibu ya kuhusu mkataba wa DPW yataendelea kuhitajika kutoka kwako si leo tuu hadi baada ya Utawala wako!
Yaani ndio hivyo tenaNyie potezeni muda wakati Bandari ishaondoka
Alisemea wapi?Wewe ndiyo utakuwa na shida maana Padri Slaa kasema wazi dawa ni kuipindua serikali unata vyombo vya usalama vifanyaje?
Halijibiki. Ule mkataba sio broohana cha kujibu blah blah ndo nyingi ila anajua exactly nini amefanya ndo maana hanakwepa kulizungumzia
kumbe wewe ni zezeta?[emoji16]Kwani mahakama ndio iliweka saini kwenye ule mkataba wa hovyo?
Haiwezekani ujinga ufanye wewe, halafu marekebisho ukafanyiwe na mwingine, kumbe wewe ni zezeta?
Say Yes!.
Mkataba ni wa muda gani kwa mujibu wa Jaji wako?Hawa hawana maarifa.Wanaotaka kuvuruga amani,wasichekewe.
Soma vizuriKashindwa kujibu nini?
Kama ni hivo kwa nini mulikwenda kufungua hiyo kesi?kwani izo mahakama ni za akina nani?huo mfumo wa mahakama unadhitibiwa na nani?wewe unazani wangempinga boss wao?
Usihangaike na waliooza akili na vichwa vyaoToka limetokea sakata la kusaini mkataba wa DP world ambao wengi wameukosoa na kuonesha ni mmoja ya mkataba mbovu kabisa kuwai kutokea bado watu wengi wamekuwa wakijiuliza ni kweli Samia amesaini yeye mwenyewe mkataba wa aina hii?
Bahati mbaya au nzuri kila akipata nafasi amekuwa akikwepa kuzungumzia mkataba huu amabao kwa sahihi zinaonesha ni yeye aliyesaini lakini badala yake amekuwa akijificha kwenye ujenzi wa darasa,wafiwa watibiwe bure, mechi za Yanga na Simba!
Rais Samia anatakiwa kujua itafika kipindi atafunua mdomo wake kueleza na kujibu hoja zote maana kila anayemtuma anaeleza la kwake!
Rais Samia amekosa majibu sasa ameona awape shitaka la uhaini wanaopinga mkataba ule na masharti yake……
Rais Samia anatakiwa kujua shitaka la uhaini halitokuwa majibu ya mkataba mbovu wa Tanzania na DPW!
Shitaka la uhaini halitompa amani ya kutawala bali majibu juu ya Mkataba wa DPW ndio yatampa amani!
Shitaka la uhaini halitokufanya upendwe bali litakufanya uchukiwe na kuogopwa na wanaccm na wasio wana CCM!
Bado majibu ya kuhusu mkataba wa DPW yataendelea kuhitajika kutoka kwako si leo tuu hadi baada ya Utawala wako!
Watu wamekwenda mahakamani kuulizia uhalali wa huo mkataba majibu yametoka au vipiKwani mahakama ndio iliweka saini kwenye ule mkataba wa hovyo?
Haiwezekani ujinga ufanye wewe, halafu marekebisho ukafanyiwe na mwingine, kumbe wewe ni zezeta?
Say Yes!.
Maana kuna vita vingine unaona unapoteza hivyo bora jifanye mjinga, ukipata nafasi rekebishaYaani ndio hivyo tena
Mbona kila siku munaulizia kuhusu bandari za zanzibar kila mukipewa majibu munarudi tena kuliza nyie vipi Bandari sio suala la muungano muambiwe mara ngapi?Kifungu 4(2) kwamba Tanzania inapotaka kuweka mwekezaji mwingine maeneo mengine ya bandari inatakiwa iende Dubai kuomba ridhaa, Dubai wakikataa kutoa idhini ndio basi. Yaani nchi huru ikaombe ridhaa Dubai? Tena kwa Mali zake? Lingine, kama mkataba huu ni mzuri, kwa Nini bandari za Zanzibar zisiwemo? Kwani wao hawataki kunufaika?
we kenge hujaona hukumu ya mahakama? Mahakama imeshaamua we ni nani unakuja tena na huu upuuzi? Mahakama kuu iseme mkataba uko sahihi, we useme hakuna mkataba mbovu km huu? we mbwa kweli, we hangaika na mambo yako tunachosubiri ni utekelezaji, kazi inaendelea. Unakuja kubwabwaja huku na maujinga yako, mwandikie mamako haya maupuuzi.Toka limetokea sakata la kusaini mkataba wa DP world ambao wengi wameukosoa na kuonesha ni mmoja ya mkataba mbovu kabisa kuwai kutokea bado watu wengi wamekuwa wakijiuliza ni kweli Samia amesaini yeye mwenyewe mkataba wa aina hii?
Bahati mbaya au nzuri kila akipata nafasi amekuwa akikwepa kuzungumzia mkataba huu amabao kwa sahihi zinaonesha ni yeye aliyesaini lakini badala yake amekuwa akijificha kwenye ujenzi wa darasa,wafiwa watibiwe bure, mechi za Yanga na Simba!
Rais Samia anatakiwa kujua itafika kipindi atafunua mdomo wake kueleza na kujibu hoja zote maana kila anayemtuma anaeleza la kwake!
Rais Samia amekosa majibu sasa ameona awape shitaka la uhaini wanaopinga mkataba ule na masharti yake……
Rais Samia anatakiwa kujua shitaka la uhaini halitokuwa majibu ya mkataba mbovu wa Tanzania na DPW!
Shitaka la uhaini halitompa amani ya kutawala bali majibu juu ya Mkataba wa DPW ndio yatampa amani!
Shitaka la uhaini halitokufanya upendwe bali litakufanya uchukiwe na kuogopwa na wanaccm na wasio wana CCM!
Bado majibu ya kuhusu mkataba wa DPW yataendelea kuhitajika kutoka kwako si leo tuu hadi baada ya Utawala wako!
sasa nenda kashtaki kwa mamako, kwanza mwulize kwanini we ni mpumbavu kiasi hicho? Unamwamini nani hapa duniani km hata mahakama huiamni?kwani izo mahakama ni za akina nani?huo mfumo wa mahakama unadhitibiwa na nani?wewe unazani wangempinga boss wao?
Hoja sii zimeshajibiwa Mahakamani kama hamjaridhika kateni RufaaHoja kashindwa kujibu kaamua kutumia nguvu, HOVYO [emoji57]
we bwege hakuna mtu wa kukuelewesha hapa duniani. Mahakama ndio inatafsiri sheria kujua km jambo fulani liko sawa mbele ya sheria au la.Kwani Mahakama ndiyo iliyoingia Mkataba wa kibwege?
TLS wamehongwa kiwanja na wao wamekubaliToka limetokea sakata la kusaini mkataba wa DP world ambao wengi wameukosoa na kuonesha ni mmoja ya mkataba mbovu kabisa kuwai kutokea bado watu wengi wamekuwa wakijiuliza ni kweli Samia amesaini yeye mwenyewe mkataba wa aina hii?

Alisemea wapi?