Serikali yaanza uchunguzi wanafunzi kufundishwa ulawiti


Kama ukipewa msaada na wazungu unafanya ushoga, basi nchi hii wote tunapaswa kuwa mashoga, maana serikali ya CCM imashapewa misaada sana na wazungu.
 
 

Attachments

  • IMG-20230116-WA0054.jpg
    106.8 KB · Views: 2
Mi siamini

Mbona matokeo ya mitihani kilimanjaro ni mazuri!!?

Ingekuwa hivyo mbona ufaulu ungeshuka!!!?


Ngoja TUSUBIRI!

Spinning ni Njia nzuri ya ku divert attention ya MATOKEO mabaya ya form two mwaka Huu!!
 
Ni mgombea yupi na aliyasemea wapi?

Tangu mmeanza kuwasema vibaya watu wa Kilimanjaro kana kwamba sio watanzania kama nyie mmepiga hatua gani kimaendeleo?
Kama hamuwapendi waueni wote mbona hitla aliangamiza wayahudi ujerumani? Ni suala la wewe na wenzako kuungana tu muanzishe maangamizi kuliko kukaa na chuki moyoni itakusababishia heart attack



Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
mkuu hakuna anayewachukia😂acheni kubanduana wanaume kwa wanaume, pia acheni kuwafundisha watoto kubanduana. Is that too much to ask?🤣mbona ni jambo la msingi sana
 
Akili nyingine bhana kichekesho. Shule kuwa Kilimanjaro siyo kwamba inamilikiwa na mchaga au Basi wanaosoma humo Ni wachaga tu.

Punguza chuki na ushamba.

Akili ndogo!
 
Sasa blaza mahubiri yote ya nini......kwani mie nimesemaje??
 
Umengea point mkuu wachaga ni watu wa hovyo sana, ipo siku watajutia majigambo yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…