Mimi mwenyewe nadhani hili limeibuliwa kimkakati ili kupata sababu ya kuwafuatilia hawa wengine. Na kwa kupitia kwa haraka mijadala humu naona pia siasa imeingizwa.Sio kweli!!
Sema Kuna tetesi zile shule za international zinazotumia mitaala ya kimataifa kuanza kufundisha hilo somo la LGBT kama wanavyofanya watu wa nje..
View attachment 2485068
ChukiUmengea point mkuu wachaga ni watu wa hovyo sana, ipo siku watajutia majigambo yao.
Wanafikiri njaa zao zimesababishwa na wachagaWajinga mnajua kusapotiana. Chasaka mna shida.
Ni shule Gani hizo tuzijue Ili tutor WATOTO huko fasterWaziri wa Elimu Prof Mkenda amesema ametuma timu maalumu mkoani Kilimanjaro kuchunguza Shule zinazofundisha Wanafunzi vitendo vya kulawitiana
Prof Mkenda amesema wameshtushwa sana na Taarifa hizo hivyo wameongea na Mkuu wa mkoa na RPC washirikiane na Tume hiyo kuchunguza Shule zilizotajwa
Chanzo: ITV
Hata usipowapenda unawapunguzia Nini mkabila mkubwa wewe[emoji23][emoji23]Ila wa chaga kutoka moyoni siwapendi.
Hahahah mkuu ni jina tu nilipenda kujiita ila mi ni wakina mwaipaja aisee. hahaha naona tunafanana majina mkuuMkuu we maso wa ukoo upi?
Huko kwenye madrassa napo siku hizi usalama ni mdogo sana.Ndyo maana mm mwanangu anasoma madrasa tu
Chuki za kipumbavu sana hiziKile chama kinachopewa pesa na mashoga kule ulaya si inasemekana kina influence kubwa huko kilimanjaro? Sasa hii itakuwa ni coincidence kweli [emoji848]
Eee, nyie chama cha watu wa mwisenge ebu tuambieni ukweli!
Kwa mujibu wa uzi na chanzo - gazeti la Mwananchi, siyo shule moja, ni shule kadhaa.....yani kuna shule inafundisha watoto kukulana ?
"Timu imeashaanza uchunguzi katika shule zilizotajwa na hatua za haraka zitachukuliwa kwa wahusika wote watakaobainika kuhusika na kadhia hiyo,” amesema Profesa Mkenda.
Mkuu acha kupaniki. Hivi vitendo mnavyofanyiana watu wazima na pia kuwafundisha watoto wenu ni hatari kwa ustawi wa jamii yenu huko mkoani kilimanjaro. Jitahidi muache hizi tabia. Tunajua ni ngumu kwa vile mmeshazoea, ila mkiaanza kuacha kidogo kidogo naamini mtaweza. Lifanyieni kazi hiloMikoa inayoongoza Kwa hayo mambo ni Dar Tanga Pwani halafu na Zanzibar umewahi kukemea?
Mikoa mingine ikiwemo Kilimanjaro hizo tabia ndio zinaanza kushamiri lakini mbona mikoa mingine hamuongei, why mkisikia tukio hata 1 tu Kilimanjaro mnawahusisha watu wote wa mkoa huo?
Mkoa unaotoka wewe hakuna hii tabia?
Punguzeni chuki hata wao wanaathiriwa kama inavyoathiriwa mikoa mingine
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
We jamaa umetohoa jina la masopakyindi
Shida ni ninUnajua tukatae tukubali, vitendo vya ulawiti yaani Ushoga vina uhusiano wa moja kwa moja na Usingle mother. Na mkoa wa Kilimanjaro kitakwimu ni mkoa unao ongoza kwa idadi kubwa ya familia zenye single mothers wengi specifically jamii ya wachagga.
Tafiti za kitaalamu zifanywe kulink ushoga na mfumo huu mpya wa malezi ya usingle mother kwenye jamii yetu.
Kuna bwana anaitwa tukai sio mchaga na anamiliki shule nyingi tu hapo Moshi acha ujuajiNiambie shule iliyoko Kilimanjaro ambayo inamilikiwa na kyasaka ,
Ndiyo na wachukia.
Mkuu fanya uache hii tabia ya kubanduliwa. Kuwasingizia wengine ni character assassination haitakusaidia. Fanya uache. Rudi kanisani, kamuombe mungu wako akusamehe kwa kitendo hiki ambacho umekuwa ukikifanya hiyo ndio njia pekee utasalimikaKwani wewe tangu umeanza kuingiliwa kinyume cha maumbile hadi leo hii umepata faida gani?
Kuwachukia kwako hakukuongezei chochote ndio Kwanzaa wanastawi kutokana na juhudi zao sio wavivu hao, unaskia wewe chasaka?Ndiyo na wachukia.
Ah mkuu mimi najaribu kuunganisha dots tu. Haya matendo yamekuwa mengi sana kilimanjaro. Lakini pia kile chama kilichoanzia mkoani huko, mgombea wake wa urais anasupport haya mambo. Sasa in investigation dots zinafit vizuri ndo maana tunasema haya. Lengo si kuwasingizia, ni kutaka muache tabia hizo. Faida ni yenu nyinyi. Sisi hatufaidiki na chochoteNi tuhuma ya shule Moja ila kutokana na chuki zako umeifanya ya mkoa mzima.
Ni tuhuma na haijathibitishwa kama ni kweli ama la ila wewe umeshaconfirm kwamba ni kweli
Inawezekana hili limezushwa na wenye chuki kama wewe Kwa maslahi yenu mnayoyajua ila popo hawezi kuzichafua mbingu anajichafua mwenyewe
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Siichafui. Lengo ni mbadilike. Fanyeni mbadilike. Msibanduane sio vizuri kiafya na kimaadili. Pia msifundishe watoto wenu kubanduanaSio kweli unajaribu kuichafua jamii unayoichukia ila hutafanikiwa kamwe
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Siwachukii kwababu ya juhudi zao au kustawi kama ndiyo hivyo ningechukia makibalia mengi, kwani makabila mengi tu yanajuhudi na ustawi pia.Kuwachukia kwako hakukuongezei chochote ndio Kwanzaa wanastawi kutokana na juhudi zao sio wavivu hao, unaskia wewe chasaka?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile