Serikali yaanzisha Tahasusi (Combination) mpya 49, sasa zitakuwa 65

Mi naona kuna mda ccm kilicho baki kama huku mtaani tunavosema ukichezea maisha yata kupiga kwa ili serikali ya ccm ndio inalitafuta.

Wanyofanya kwenye mitaala ya elimu ni kwamba watanzania tubaki kuwa wajinga kwa vizazi vyetu ili wao watoto wao wasome mitaala ya nje.

Je tamisemi kwa nini inaingilia wizara ya elimu na kutoshilkisha wadau wa elimu na maoni ?.

ila we shemeji usifurahishe ukweni kutaka uwaziri
wajinga waliisha Tz labda umebaki pekeyako 🐒

maboresho ya Elimu Tz ni kwa maslahi mapana ya waTz wote🐒

waTaz wote walishirikishwa kwenye Jambo hili na kuamua hivi ilivyo..
Maoni ya wengi yamezingatiwa na kutekelezwa na maoni ya wachache yameskizwa na kuheshimiwa 🐒

hayupo wakubabaika na wenye gubu na wanao jifanya ni zaidi ya binadamu 🐒
 
Mjinga wewe usievuka hata border ukajionea nini maana ya elimu.sijui hata Japan unapafahamu ukajifunze elimu.
Nimekwenda mbali sana njoo Zimbabwe tu hapo
 
sio Japan na Zimbabwe tu,

nimekuako Africa maeneo mengi, Asia maeneo ya kutosha, Ulaya na Marekani ni tabu na vurugu tupu 🐒

Tumewazidi vitu vingi sana hawa majamaa....

ni katika kuzongwa na Fikra za kitumwa, uvivu na Tamaa tu ndio unajikuta unajidharau kama ambavyo uko wewe dah 🐒
 
Hawa watu wa mitaala wamenishangaza kwa kitendo cha kutengeneza mtaala mpya ambao wanafunzi wa darasa la 3 watasoma mada za form 1
🤣🤣🤣🤣
Aisee contents za darasa la tatu ni ngumu balaa
 
Mnaweza mkarudi na kujipanga upya kurekebisha hizo kasoro. Kwa mfano hizo kombo za kujifunza kiarabu na kichina kwa muda usiozidi miaka miwili huku kukiwa na presha ya mitihani ya NECTA zimekosa uhalisia kabisa. Lengo lilikuwa nini? Ni mtoto azimudu hizo lugha au ionekane tu watanzania tunajifunza lugha za kigeni? Kimsingi kuna kasoro nyingi sana kwenye hilo jambo.
 
Huu ni ukurupukaji mkubwa kuwahi kutokea, ni mkanganyiko mtupu, kwa kifupi ni vurugu tupu hapa wala hakuna weledi na ufanisi
 
Kiingereza tu la kwanza hadi chuo kikuu bado tunasuasua, kinge imeshindikana kabisa kunyooka ....
 
😨hapa ndo utajua wajinga ndo wameshika usukani 🤣🤣🤣dinga linaenda mrama..
 
Mnaweza mkarudi na kujipanga upya kurekebisha hizo kasoro. Kwa mfano hizo kombo za kujifunza kiarabu na kichina kwa muda usiozidi miaka miwili huku kukiwa na presha ya mitihani ya NECTA zimekosa uhalisia kabisa. Lengo lilikuwa nini? Ni mtoto azimudu hizo lugha au ionekane tu watanzania tunajifunza lugha za kigeni? Kimsingi kuna kasoro nyingi sana kwenye hilo jambo.
Mkuu fuatilia kwa makini , Chinese na France zinafundishwa kuanzia form one.Hivyo anaye enda kusoma A-level anakuwa amesoma miaka 6 hizo lugha.
 
Mnaweza mkarudi na kujipanga upya kurekebisha hizo kasoro. Kwa mfano hizo kombo za kujifunza kiarabu na kichina kwa muda usiozidi miaka miwili huku kukiwa na presha ya mitihani ya NECTA zimekosa uhalisia kabisa. Lengo lilikuwa nini? Ni mtoto azimudu hizo lugha au ionekane tu watanzania tunajifunza lugha za kigeni? Kimsingi kuna kasoro nyingi sana kwenye hilo jambo.
CCM sisi viongozi wetu hawana akili kabisa.
 
Mambo ya dini kwenye elimu za serikali ni upumbavu upumbavu upumbavu upumbavu
Serikali haina dini, hii kuanza kukaribisha mambo ya dini katika mambo yanayohudumiwa na serikali ni jambo la HATARI SANA huko mbele.
Ukishatambua hizo tahsusi itabidi serikali iwe na shule za kufundisha hizo tahsusi na hivyo kugharamiwa na serikali.
Hatari sana. Sidhani kama serikali ina ulazima wa kutengeneza mapadre wengi. mashehe wengi nk maana hawana msaada kwa Serikali. Serikali huendeshwa kwa Katiba, sheria na kanuni - si mambo ya imani.
 
Back
Top Bottom