Serikali yafuta mapendekezo ya kuzifanyia Marekebisho ya Sheria zinazohusu Umiliki wa Maliasili

Ukiona hivyo ujue serikali ndio imesitisha mpango huo, na wala sio bunge limetekeleza wajibu wake. Hakuna uwezekano wa bunge hili la majizi ya kura kwenda kinyume na matakwa ya serikali. Kuna uwezekano huo mkataba wa DP World ukaendelea kutekelezwa kimya kimya baada ya hizi kelele kupungua. Ogopa serekali inayoweza kuwaachia watu iliyowatuhumu kwa uhaini, huku uhaini ukiwa hauna dhamana.
 
Sasa hivi vipengele ulivyoweka vinamaanisha nini kwa uelewa wako?

Kwa uelewa wa kindergarten tu! Uwekezaji katika uendelezaji wa Bandari ni suala la maliasilia?
Duh..!!! Hivi maliasili ni Swala au wanyama pekee? Bahari siyo maliasili?
 
Si kweli fuatilia tena
 
Bunge linawapoza machungu wananchi kujifanya wanaweza kuigomea Serikali Mbona haikuugomea Mkataba wa DP WORLD wenye Utata mwingi
 
Hizi ni habari za Bunge lipi ?
 
Naona polepole wameanza kuelewa nguvu ya wananchi.
 
Halafu kulikuwa na watu waliowabeza Maaskofu kwa Tamko lao.
 
Habari ziwafikie FaizaFoxy THE BIG SHOW The Boss Ritz
 
Hivi yule Mnyarwanda-Mnyakyusa anajisikiaje na upumbav wake pamoja na PhD yake ya sheria!
 
 

Attachments

Serikali ndo imeondoa hayo mapendekezo Bungeni. Bunge limeridhia mapendekezo hayo kuondolewa Bungeni
Acha uongo Kamati ya Bunge ilirudisha mapendekezo ya serikali juu ya mabadiliko kwa kuhoji mantiki ya mabadiliko,hivyo serikali imeshindwa kujibu hoja za kamati na hivyo marekebisho uchwara yametupwa kapuni rasmi.
 
Hayo madudu si mnajiandikia wenyewe tu na yanawasuta wenyewe Unamaanishana bunge liko makini au siyo?

Tulia kishasema, mjadala kuhusu IGA yaliyopitishwa bungeni kwa sasa hakuna , kawakumbusha wabunge wote, sasa tungoje kuja kusimamia uendeshaji.


Umeelewa kijana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…