Serikali yafuta mapendekezo ya kuzifanyia Marekebisho ya Sheria zinazohusu Umiliki wa Maliasili

Serikali yafuta mapendekezo ya kuzifanyia Marekebisho ya Sheria zinazohusu Umiliki wa Maliasili

Wanafiki watapiga u-turn, "serikali yetu sikivu", na wataanza kuungana na waraka wa TEC.
 
Huu utakua ni mchongo wa kuufuta mkataba wa dpw, time will tell.
 
Muone mjinga huyu.

TEC wanahusikaje hapo? Hata mimi niliwasilisha maoni yangu bungeni kuwa hakuna haja ya kufanya haya mabadiliko kwa kuwa masuala ya uwekezaji kwenye Bandari hayahusiani na Sheria hizi.
Kama ulifanya hivyo bhSi ulifny kitu kikubwa sana kwa nchi yako sio kwa utetezi wa dp bhna kudos
 
Wasalaam ndugu zangu Watanzania!

Bunge leo limekataa kupitisha mabadiliko ya sheria 2 ambazo zilikuwa zinakinzana mkataba tata kati ya Tanzania na Dubai.

Binafsi niliwasilisha maoni yangu kwa kupinga mabadiliko haya ya sheria kwa kamati ya Bunge kupitia email yao.

- Nimewasilisha maoni yangu kupinga marekebisho ya sheria ya ulinzi wa rasimali za Taifa

Tukumbuke sheria hizi mbili zilitungwa 2017 baada ya migogoro mikubwa ya madini katika awamu ya 5.

Pia Kuna Rufaa inasubiliwa kusikilizwa rasmi na kutolewa uamuzi, ukiliangalia maamuzi ya Bunge leo unapata picha kabisa kuwa Mahakama Rufani itawapa ushindi mkubwa wananchi kwa kusema wazi kuwa Dubai haikuwa na hadhi ya kusaini IGA na Tanzania, pia itasisitiza kuwa mkataba ulikiuka sheria zetu na hivo mkataba huu batili na hivo kuipa nguvu Serikali ya kwenda kuvunja rasmi mkataba huu tata.

Watanzania wameshinda. Watanganyika tumeshinda.
 
Ufutwe waandike kwenye gazeti la serikali na wasome makanisani.

Au tumwambie Papa awanyooshee kidole waone cha mtema kuni.
 
Ngoja tusubiri as I said before yule Mama haambiliki atatembeza mhaho Bungeni awachomoechomoe wale wote wanaoleta mgomo wa kubadirisha sheria hizo 2 km yeye anavyotaka Bandari lazima iende kwa DP World sasa wabunge wamekuaje hapo wanataka kumkwamisha namna gani?

Nakala moja apewe FaizaFoxy

Nipo paaale
 
Ngoja tusubiri as I said before yule Mama haambiliki atatembeza mhaho Bungeni awachomoechomoe wale wote wanaoleta mgomo wa kubadirisha sheria hizo 2 km yeye anavyotaka Bandari lazima iende kwa DP World sasa wabunge wamekuaje hapo wanataka kumkwamisha namna gani?

Nakala moja apewe FaizaFoxy

Nipo paaale
Kama alikula mlungula arudishe tu!
 
We mtu na kuabudu mizimu? Lazima utakuwa mchawi
Hivi kuna jitu linaloabudu mizimu kama wewe? Yaani, kuna mzandiki, mnyanyapaa na mnafiki na mchawi zaidi yako wewe hapa Jamvini?

Kuabudu mizimu ni Uchawi? Ny***** wacha ugaidi
 
Hii ni hatua nzuri na kubwa sana kwa watanganyika, inaonesha vile tukiamua kupigania jambo kwa umoja wetu, hayupo yeyote wa kutushinda.

Sasa kwa hatua hii, ndio inathibitisha bila shaka, ule mkataba kati ya serikali na DPW ni haramu, haufai kuachwa uendelee kuwepo kwasababu umevunja sheria zetu za ndani tulizojiwekea ili kulinda rasilimali zetu wenyewe.

Natumai hatua ya mwisho itakuwa ni kuuvunjilia mbali ule mkataba haramu hii ni kazi ya serikali ya Samia, hata kama akiendelea kuziba masikio lazima auone na kuufanyia kazi ukweli, lazima serikali yake iheshimu sheria zetu za ndani.

Mwisho kabisa, kwa bunge kukataa kupitisha ile sheria, imeonesha mhimili wa bunge umeidharau mahakama kuu, ambayo ilitoa mapendekezo kwenye hukumu yake ikilitaka bunge likafanye marekebisho ya sheria ili kuendana na ubovu wa ule mkataba wa bandari.

Mahakama kuu kanda ya Mbeya imejidhalilisha yenyewe, badala ya kutoa order ikiri ule mkataba wa bandari ni wa hovyo, ikalipa bunge maelezo nini lifanye, na bunge nalo sasa limegoma, naamini hapa mhimili wa mahakama umejifunza jambo, wasifanye kazi kwa mazoea ya kumfurahisha mtawala.

Pongezi ziende kwa wote waliopinga na wanaoendelea kuupinga ule mkataba wa hovyo wa bandari, likiwemo Kanisa Katoliki kupitia waraka wake, ambao sasa nguvu zake zinathibitika kuanzia serikalini mpaka bungeni, wanasheria, na wengine wote wenye kuitakia mema Tanganyika yetu.
 
Back
Top Bottom