denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Stop wasting my time kwa viswali vyako vya kitoto, tafuta ile hukumu usome.Wapi Majaji walisema Bunge likafanye marekebisho ya Sheria ya Maliasilia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Stop wasting my time kwa viswali vyako vya kitoto, tafuta ile hukumu usome.Wapi Majaji walisema Bunge likafanye marekebisho ya Sheria ya Maliasilia?
Aahaaaaaa,sikupatii picha huko uliko una Hali ganiSerikali ndo imeondoa hayo mapendekezo Bungeni. Bunge limeridhia mapendekezo hayo kuondolewa Bungeni
Watajua wenyewe!Mimi swali langu ni namna watakavyorejesha tu pesa ya watu waliokula
Wapi niliwahi kuunga mkono huu muswada?Aahaaaaaa,sikupatii picha huko uliko una Hali gani
Kwa hiyo unaedai hayo huweki ushahidi wako then Mimi ndo nikatafute uongo wako?Stop wasting my time kwa viswali vyako vya kitoto, tafuta ile hukumu usome.
AahaaaaaaWapi niliwahi kuunga mkono huu muswada?
Twende taratibu.Aahaaaaaa
Ina impact gani juu ya huu MkatabaWasalaam ndugu zangu Watanzania!
Bunge leo limekataa kupitisha mabadiliko ya sheria 2 ambazo zilikuwa zinakinzana mkataba tata kati ya Tanzania na Dubai.
Binafsi niliwasilisha maoni yangu kwa kupinga mabadiliko haya ya sheria kwa kamati ya Bunge kupitia email yao.
- Nimewasilisha maoni yangu kupinga marekebisho ya sheria ya ulinzi wa rasimali za Taifa
Tukumbuke sheria hizi mbili zilitungwa 2017 baada ya migogoro mikubwa ya madini katika awamu ya 5.
Pia Kuna Rufaa inasubiliwa kusikilizwa rasmi na kutolewa uamuzi, ukiliangalia maamuzi ya Bunge leo unapata picha kabisa kuwa Mahakama Rufani itawapa ushindi mkubwa wananchi kwa kusema wazi kuwa Dubai haikuwa na hadhi ya kusaini IGA na Tanzania, pia itasisitiza kuwa mkataba ulikiuka sheria zetu na hivo mkataba huu batili na hivo kuipa nguvu Serikali ya kwenda kuvunja rasmi mkataba huu tata.
Watanzania wameshinda. Watanganyika tumeshinda.
Mtasubiri sana...Hakika nguvu ya umma dhidi ya serikali dhalimu imeshinda na mapambano yaendelee kuhakikisha hata IGA yenyewe inafutwa
Ikiwa ni kweli basi Bunge limeanza kutambua kwa nini TANU na AFRO SHIRAZ walipigania uhuru kutoka kwa wakoloni. Binafsi nilikuwa mwanachama wa TANU kuanzia mwaka 1968, mwanzilishi wa CCM mwaka 1977 na sasa sina chama cha siasa.Wasalaam ndugu zangu Watanzania!
Bunge leo limekataa kupitisha mabadiliko ya sheria 2 ambazo zilikuwa zinakinzana mkataba tata kati ya Tanzania na Dubai.
Binafsi niliwasilisha maoni yangu kwa kupinga mabadiliko haya ya sheria kwa kamati ya Bunge kupitia email yao.
- Nimewasilisha maoni yangu kupinga marekebisho ya sheria ya ulinzi wa rasimali za Taifa
Tukumbuke sheria hizi mbili zilitungwa 2017 baada ya migogoro mikubwa ya madini katika awamu ya 5.
Pia Kuna Rufaa inasubiliwa kusikilizwa rasmi na kutolewa uamuzi, ukiliangalia maamuzi ya Bunge leo unapata picha kabisa kuwa Mahakama Rufani itawapa ushindi mkubwa wananchi kwa kusema wazi kuwa Dubai haikuwa na hadhi ya kusaini IGA na Tanzania, pia itasisitiza kuwa mkataba ulikiuka sheria zetu na hivo mkataba huu batili na hivo kuipa nguvu Serikali ya kwenda kuvunja rasmi mkataba huu tata.
Watanzania wameshinda. Watanganyika tumeshinda.
Maana ardhi yote inabaki kuwa mali yetu si ndio hahahahahahaha hapo Betina na Mama Haambili kama wanatukana saa hizi.Mimi swali langu ni namna watakavyorejesha tu pesa ya watu waliokula
Hakuna anayetaka kujua sheria zilizopitishwa leo, usikimbie hoja wacha utoto wako bibi.Sheria mpya nyingi zimepitishwa bungeni leo, mbali ya kanuni za bunge sheria zilizo rekebishwa ni.
1) Tume ya mipango 2023.
2) Marekebisho idara ya Usalama wa Taifa " TISS Amendments Bill 2023".
3) Laws Amendment Revisions 2023.
4) Marekebisho sheria ya ubia "PPP Amendment Bill 2023"
5) Written Laws Amendment Bill 2023"
6) Matumizi ya fedha 2023 (Apropriation Bill 2023.
7) Finace acts 2023.
Hiyo miswada yote yote imeshapitishwa na Rais kuwa sheria kamili. Na ina majina yake kamili kisheria.