Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
I see. Kama ni hivyo hawatakiwi kulaumu.Yanga waliiomba serikali kwa maandishi ,serikali imejibu kwa maandishi .
Shida ya Simba ni uongozi usio na ubunifu. Chifu Mangungo yupo yupo tu na mashabiki mbumbumbu.
Injia Hersi ana akili sana huyu kijana.
Haaaaaa umefukua makaburi, nilifunguaga ID kwa Jina la kike na nilitumia kutapelia watu. Nimecheka kama mazuri kumbe mods hawajafuta nyuzi zangu za zamani. ππππππ π€£Achana Naye Huyu Zee la Mandandu
Ni Mtoto wa Kike tena mwenye Umri miaka Chini ya 40 halafu Anakuwa Ananiita Dogo..
Halafu kaanza kule kwenye Jukwaa la Intelligence naona kaamia huku
nisaidie kumuuliza Ameshapata Mume
View attachment 2950731
Hahaaaaaaa huyo dogo tu. Kwani akiniweka kwenye ignore list nitapungukiwa na nini? Yaani tunatumia fake ID alafu kuna mtu anajiona special sana. ππππππWewe Mandandu usimwite dogo DR bhana hebu kuwa na adabu. DR msamehe bure.
Haitasaidia na kukufanya uwe mkubwa kwangu. We bado dogo tu. Huna uspecial huo kwangu we kijana. Pathetic.Nahisi Natakiwa kukuweka kwenye Ignore list
Wewe Jina lako ni Loveness tunakujua Toka kitambo Mkuu wala sijafukua..Haaaaaa umefukua makaburi, nilifunguaga ID kwa Jina la kike na nilitumia kutapelia watu. Nimecheka kama mazuri kumbe mods hawajafuta nyuzi zangu za zamani. ππππππ π€£
wacha we πYanga Wana nafasi??
Kwa Possesion Ipi?
Ndo hiyo ya 74 kwa 26?
Simba waliposses Mpira zana 69 kwa 31..
Tunaamini Tukienda huko Ni chuma tu tunamchapa 2 au tatu kwa moja hoi
Yanga ni timu ya ccm. Hakuna cha uelekeo. Ccm na Yanga ni kitu kimoja.Kama ulikuwa hujui serikali ina mkono kwenye mafinikio ya timu kubwa hapa nchini. Lakini pia inaangalia team ipi yenye uelekeo
Kuna sehemu Mkuu nimejiweka Uspecial Kwako au kwa wengine??Haitasaidia na kukufanya uwe mkubwa kwangu. We bado dogo tu. Huna uspecial huo kwangu we kijana. Pathetic.
Fikirieni upya na mapossesion yenu hayo, posessioni gani mnaisema ya kipa wao kucheza zaidi, kwa mawazo yenu possesion ile ingewapa goli hao ndugu zenu labda wangeamua kujifunga wenyewe. Maana faraja yenu saizi ni possesion, waabieni wakaendelee kupossessYanga Wana nafasi??
Kwa Possesion Ipi?
Ndo hiyo ya 74 kwa 26?
Simba waliposses Mpira zana 69 kwa 31..
Tunaamini Tukienda huko Ni chuma tu tunamchapa 2 au tatu kwa moja hoi
Sema Watoto wawili mmoja umemzaa mwingine wa kambo.Mtoa mada asume una watoto wawili..mmoja kapata division 0 na mwingn kapata dvision 4..yupi utatia jitihada zaidi kwake..acha ushabik hali halis unaijua
Wiku hii Ikiisha Tutakuja na Jibu moja hapa kama ni kupeana Pole au Kupongezana π€£π€£Fikirieni upya na mapossesion yenu hayo, posessioni gani mnaisema ya kipa wao kucheza zaidi, kwa mawazo yenu possesion ile ingewapa goli hao ndugu zenu labda wangeamua kujifunga wenyewe. Maana faraja yenu saizi ni possesion, waabieni wakaendelee kupossess
Wacha weeeeee, wacha mwembwe dogo.Kuna sehemu Mkuu nimejiweka Uspecial Kwako au kwa wengine??
I think you are psychopath and You need Therapy Seriously ..
HahahahahaππAcheni twende Jamani juzi tumepigwa kipigo kikali sana na polisi.
Mabomu ya machozi na virungu almanusura vituuwe
Mmh, hata kama napenda wanawake wa Tanga hapa naanza kuwa na wasiwasi, huyu anaeliwa kimasikhara atakuwa mke anaejitambua kweli huyu?Wewe Jina lako ni Loveness tunakujua Toka kitambo Mkuu wala sijafukua..
Hakuna mwanaume Anayeweza akaandika Thread kujifananisha na mwanamke na kama siyo shoga...
mwanaume anajiisifu hadharani Kuliwa?View attachment 2950757
Mwanaume anasema wachaa weee π π Dah uhalisia huwa haujifichi hata kwenye ID fake..Wacha weeeeee, wacha mwembwe dogo.
π π π€£Mmh, hata kama napenda wanawake wa Tanga hapa naanza kuwa na wasiwasi, huyu anaeliwa kimasikhara atakuwa mke anaejitambua kweli huyu?
Au na mimi nimle kimasihara tu halafu nimuache!
Waambie ukweli!Ficha ujinga yanga ndio waliomba sapot kutoka serekalini
Na nyie Simba ombeni
Wacha buana!Mwanaume anasema wachaa weee π π Dah uhalisia huwa haujifichi hata kwenye ID fake..
NIkimkuta mwanangu anasema hivyo nitamchapa sana
π€£π€£Wacha buana!